Halafu nyie wakorofi hapo juu naona wote mnamatatizo ya macho.... kapimeni! Kwa machaguo yenu hamchelewi kuniambia huyu hapa chini pia ana macho manne....
Halafu nyie wakorofi hapo juu naona wote mnamatatizo ya macho.... kapimeni! Kwa machaguo yenu hamchelewi kuniambia huyu hapa chini pia ana macho manne....
Steve hako nakakubali ila kameanza kuchuja kakiacha kumegwa na vibabu vya kizungu katarudi enzi zake kama chini hapa
Nilkikuwa na picha zake nyingi lakini tangu kaanze tabia za kufukuzia wazungu basi....
Yoyo utanisamehe... nimeingia kwenye mjadala niki judge mwonekano kwa picha kama zilivyowekwa hapa na si tabia za watu au maisha yao. Kulingana na jinsi pimbi alivyoweka picha, chaguo langu ndiyo hilo... hayo ya wazee wa kizungu au mambo ya heineken siyajui.. heshima mbele... baadae.