Balozi wa Dodoma
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 477
- 179
Enock bado ni Tishio asee pale ya moto band.
balaa lake lingine liko ktk wimbo wao mpya walioutoa mwanzoni mwa mwezi November.
wimbo unaitwa
"WAMBEA" Ya moto band ft Christian Bella.
humu pia enock amepiga vocal Kali sana mpk hakatunukiwa "Honoris Causa" na Christian Bella ya
kujiita rasmi Ennock Bella(kutokana na uwezo wa kuimba sauti za kumtoa nyoka pangoni)
katika huu wimbo Enock ameimba km mtu wa pili
baada ya intro ya Christian Bella na Verse ya Asley.
Enock ameimba hivi(kwa sauti ya kubembeleza mtoto mzuri wa kike ambae anaeza kuwa hajazaliwa labda ameshushwa tu yani)
"
"ninakila sababu za Kulinga na Penzi Lako Honey.
Tunawapa ghadhabu Wenye chuki na Penzi letu kwanii.
unazunguka' nikirudi
unakuta yamejaa Kibao.
maneno ya kipuuzi
baby wangu embu achana nao.
Ya ndani ya kwetu ENO
mi baby wangu eeeeeh
watoe jawabu
wanakufa na penzi letu eeeh
wanaleta umbea
maneno ya kipuuzi hayo.
wanaleta umbea no no no no nooooo
Mchawi Binadam
paka anatumwa tu elewa baby.
maneno ni haram
wanataka tugombanisha mi na we wee.
ohooo oo"
ahaaaa and that is Enock