Enock Bella ni hatari sana
"Mtu kunywa kunywa milenda sio ufala ila kupenda"
Enock Bella ni hatari sana
"Mtu kunywa kunywa milenda sio ufala ila kupenda"
Enock Bella ni hatari sana
"Mtu kunywa kunywa milenda sio ufala ila kupenda"
Naungana na wewe kabisa Huyu Bella ni nuksi
kwanza anajua kulinga haogopi kamera live pia yupo njema hana uwoga
nimesikia kuna bendi kubwa zinamfukuzia
alle baba huyo katoka kazini na zawadi mkononi kaleta na ungo
alle baba umerudi nipe soda nikalingishe huko nje....
Aibu naona mimi nakwambia
Enock Bella ni hatari sana
"Mtu kunywa kunywa milenda sio ufala ila kupenda"
Icho kipande hajaimba Enocki
ameimba Becka.
Enock ni yule aloimba ivi
" Beibi Beibi Nakupenda Sanaa .Nishike nikushike Mtaani Tusije Kuachana. ×2
baki na Mimi.wengine wa nini Mimi.
naogopa maradhi "
Ukitaka kujua Enock Ni Hatari kuliko Wale kina
Asley' Maromboso na Becka
tafuta wimbo wao(hauja toka rasmi ila YouTube upo)
unaitwa
"Bora Kijijini" au Juma"
humu ndani utagundua Enno jinsi alivyo mtu m baya.
na chorus ya uwo wimbo kaimba yeye alafu Asley kaikolezea mbwembwe.
wimbo una meseji nzuri sana. hasa kwa wale ndugu zangu ambao wanadhani maisha yapo DAR ES SALAAM tu.
kumbe kule wanapotoka ndo kuna maisha.
kuna haka ka kipande aliko imba Enock
"Niligunduaa Sina Sababu ya kuishi Dar
Uchomwe Juaa Ule adhabu Upate ka-raha.
Niliambiwaa Dar Kuzuri Kuna Mataa.
Usilojuaa Usiku wa Giza
Mjomba Juma.
ahaaaaa
baada ya hapo anashuka to the Low key then anasema(kwa sauti tamu)
"Better Life kijiji
kuna mashamba Lima uta Wini'
usitamani tamani mjini Jumaa.ayaayaa ya ¡Á2
ahaaaa alafu Anapanda Tena to the highly Key.
"Kuwa na Moyo maisha kokote Juma.
Epuka Tamaa '
Riziki Popoote Juma aa
iyeee iyee iyeeee.
chorus yake
Enock kaimba ivi
" Rizika na kidogo
usiwe na Tamaa
hata km vichacheee' hamna noma ¡Á2
afu aslay anadakia hapo
"Silaa Pesa mjini
bila ya pesa huishi
silaa ya pesa mjini ataufanye ubishi.
Enock ni nomaaaa
Tumalize ubishi!!
Nani Anauwezo wa kuimba zaidi ya wenzake!! Mimi naanza na MAROMBOSO.