Thelonious
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 216
- 452
Ok.Hayo manyimbo uliyo orodhesha ni kwa upenzi tu, mtu mwingine anaweza asione uzuri wake, au akapenda nyimbo za Sean lkn zzsiwehhzoulizoorodhesha. Na kuhusu nomination na tunzo, hayo ni mafanikio ya kimziki. Ww mwenyewe Kuna wanamzk unao/uliowahi kuwakubali lkn hawakuwah pata mafanikio. Mzk unamambo Mengi na hata wao wanamzk wanaheshimiana sema cc fans ndo shida. Nakumbuka Mboni alimuuliza Christian Bella,ni mwanamzk gan unamkubali, akajibu Bel9 na akasikitika kwann hana mafanikio. Kwanin unadhani Hakumtaja Kiba au Mondi?Mzk unavitu vngi unahitaji uwe ndani ndo utaelewa.Kila mtu anamitazamo yake.
Wewe ni shabiki mfia chama.... Unaweza kuwa shabiki wa msanii fulani ila kwenye ukweli sema tu... ndiyo maana nilikuambia senzo vs Bob. Kuna mtu anamkubali senzo ila tukimlinganisha na Bob toa mapenzi tu sema ukweli.
Mimi ni shabiki wa Rayvan ila Chukua mziki wake linganisha na Dai Ray atasubiri. Hata huyo belle namkubali ukija kwa kiba na Dai belle atasubiri.