Nani mkali? Kenny Rogers & Don Williams!

Ukitaka kujua hapa wengine vipaji vyao ngoma, maada ya country musics kenge mmoja anakurupuka baada ya kudondokewa na matone ya mvua na kuanza kumtaja Whitney Houston....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I will remember u Vs Jamaica farewell!
apo ndo wananmaliza kabsa!..Dolly Parton anamalza na Tennessee.. .
 
Asante sana aiseee... ilikuwa inanichanganya kati ya parton na Whitney nani alikuwa wa kwanza... but version ya Whitney Houston ndo ilikuwa nzur sanaa n zaid ya parton... fantastic. ..
Ya Parton nzur bn sema n zaman kizaz kpya hawaifahamu! Sikiza izo mbil uone ipi inaleta relief ya moyo
 
Huku kuna i belive in you. Huku kuna coward of the contry ni hatar sana
 
Jamaica Farewell mpk kindergaten intrntnl wanafindshwa....
Dolly ana song yke anaimba "When i need u wil u come?" daaah
 
Umenkumbusha kuna ile ya " but you love me, daddy" awa jamaa mafund sn
 
Ya Parton nzur bn sema n zaman kizaz kpya hawaifahamu! Sikiza izo mbil uone ipi inaleta relief ya moyo
Mkuuu version zote mbil ninazo... ila Houston ni hatari.. ile sautii n hatariii... salute. ..
 
"Best friend ",
"love me over again"
"Amanda"
Don Williams is the best!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…