Habari wana jamvi, leo nimewaletea hawa wadogo zetu kutoka WCB, nataka tuwashindanishe kwa kila kitu kuanzia mziki wao, live performance zao, swaga zao, uvaaji wao na kila kitu ki ujumla.
kama tanzania imewaelewa halina tatizo wapambanishwe tu kuna watu wananyimbo zaidi ya hizo ila watu hawa wafahamu unawafahamu haw nash mc songa nikk mbish kr mulla