Nani mkali Kati ya Hawa wafuatao

Nani mkali Kati ya Hawa wafuatao

MR KADIDY

Member
Joined
Mar 26, 2021
Posts
67
Reaction score
115
Mziki wa bongo umekuwa na mkundi makubwa matatu mabayo ndio yanazungumziwa sana na mashabiki wa mziki makundi hayo ni haya [emoji116]


1. WCB

Hii ni label ya mziki ambayo inamilikiwa na DIAMOND PLATINUM ( NASIBU ABDUL) ambayo ina wasanii kama vile
_Rayvany
_mbosso
_zuchu
_lavalava
_Queen darlin


2. KINGS MUSIC

Hii ni label ambayo inamilikiwa na msanii Ali Kiba ambayo inawasanii kama
_Tommy flavour
_K2ga


3. KONDE MUSIC WORLD WIDE ( KONDEGANG)

Hii inamilikiwa na msanii HARMONIZE ( RAJABU ABDUL KAHAR) label hii ina wasanii kama
_Ibraah
_anjella
_killy
_cheed


Ipi inafanya kazi nzuri kwasasa na kwanini unahisi inafanya vizuri?
 
Konde gang
Wasanii
Killy na cheed
 
Hapo Ni sawa na kuhoji yupi ana nguvu kati ya RAISI wa Jamhuri ya Tanzania na Spika wa Bunge la JMT😁😁,kifupi Ni kuwa hao wote MAMA yao Ni WCB
 
Makonde chi mutu ndo kila kitu hapo. Mama waweza mzidi mbio.
 
Back
Top Bottom