Nani mkali hapo?

lazima watu kama wewe wawepo katika thread
Ni Kweli! Mimi as a Producer ntakua na chaguzi si lazima Mawazo yangu yawe kama yako! Ndo maana Bongo Movie haiendelei coz Producers&Director wana Mawazo mgando kama yako na wenzio! Mmekariri! Nna uhakika wewe ungekua Ni Producer WA PRISON BREAK, usingekubari T BAG awe adui, muuaji WA kiwango kile, nahisi ungewaweka jamaa hapo juu kwenye picha!
 
siku hizi mavillain wanakuwa mahandsome ila wakaksi balaa. kama direkta sichagui mtu hapo. movie haitauza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…