Nani mjinga zaidi

Nani mjinga zaidi

Samwel0759

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
19
Reaction score
11
HAPA
NANI
MJINGA
ZAIDI?

Mmoja alionekan na birika anamwagilia maji kwenye bustan huku mvua inanyesha alipoulizwa akasema mvua ni mvua na maji ni maji

Wa pili kaona embe juu ya mwembe akajiuliza imewiva au mbichi,akapanda-juu akaona imewiva akateremka akakusanya mawe akaanza kutungua,

W tatu kaona kitu kam kimefanana na mavi akajiuliza haya mavi au udongo akatia kidole akalamba alipoona ni mavi akasema ni mavi nashukuru sikuyakanyaga.
 
Hakuna mjinga kila mtu hapo katumia akili yake kufanya yake,kama wewe ulivyotumia akili yako kupost hii story.
 
Wa 3 ana akili sana,wa 1 na 2 ndio wajinga kbs.
 
Hiyo kali
hata hasira
itakwisha kwa
changamoto
hizo na maisha
tataboreka kiasi
kwamba ni kama
chemsha bongo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom