Nani Mjinga hapa!

Mjinga namba moja, wenzake wana misumeno yeye anakodoa macho badala ya kuruka au kumzaba vibao no 2

Watu wengi hawajagundua hilo. Ni hora ya matatizo uliyojisababishia mwenyewe kuliko kuona mtu anakutengenezea matatizo na ww umekaa unakodoa tu
 
No 3 ndiyo mjanja wao hao wengine wote vilaza ila akitokea no 5 hapo chini anakata shina ndiyo atakuwa mjanja zaidi
 
Watu wengi hawajagundua hilo. Ni hora ya matatizo uliyojisababishia mwenyewe kuliko kuona mtu anakutengenezea matatizo na ww umekaa unakodoa tu
Unajua ni vipi mtu wangu, no 2 anammaliza no. 1, no 3 anammaliza no.2, no.3 yuko safe na anajua anachokifanya ila no.4 anajiua, suicide. Kwa hiyo automatically no. 1 ni fala farasi

Tuko pamoja
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…