Nani Mjinga hapa!

Namba 1,2 na 4 ndio wanaoonekana ni thithiem.
 
Kwa Kweli namba 4 ndo zuzu kabisa atakayesema vinginevyo nae mjinga
 
2 ndio mjinga zaidi,uzito wake na moja utamfanya 3 awadondoshe mapema,halafu wako mbal na arthi kwa hiyo wataumia zaidi,pia 2 yuko karibu na mti na matawi makubwa hivo mgongano utakuwa zaidi ya 1 na ataumia zaid ya 1
 
Mjinga ni ww ambaye unaona namba 4 anajimaliza lakn unamwangalia tu ili ajimalize
 
Mjinga namba moja, wenzake wana misumeno yeye anakodoa macho badala ya kuruka au kumzaba vibao no 2
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…