Nani mgombea wa Upinzani katika jimbo la Ilala?

Nani mgombea wa Upinzani katika jimbo la Ilala?

kanone

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
6,188
Reaction score
1,576
Samaani naomba msaada wa kulifaamu hili, nani anagombea kwa tiketi ya upinzani katika jimbo la Zungu?

Nimeuliza hivi kwa sababu ya kutaka kujua kilichomfanya jana kujitoa ufaamu na kuwasaliti wanajimbo lake watu makini na wasomi wanaoishi katika jimbo hilo na kuangukia kwenye kundi la wasaka tonge.

Lakini pia nimefanya utafiki wale Wabunge wote ambao wameonyesha kumuunga mkono wazawazi kwenye majimbo yao wana hali mbaya na hawatarudi bungeni kamwe tayari yamechukuliwa na upinzani na wananguvu sana.

Mfano, kunatetesi kuwa Masele Mbunge wa Shinyanga mjini inasemekana hakuna na CHADEMA wameisha chukua na ndo maana mbuge wa jimbo hilo alijitoa ufaamu na kumuunga mkono Lowasa waziwazi pia Selukamba nae hali ni mbaya na wengine wanaoonekana kumuunga mkono.

Naomba kumfaamu anaegombea upinzani kwa Zungu pengine ndo sababu hiyo ya kujitoa ufaamu hivyo.
 
Yupo mgombea mmoja kutoka Chadema, nilona kwenye vyombo vya habari kuwa keshachukua fomu na kuzirudisha.
 
Hayo ni maneno tu, kwan wao hawana moyo wa upendo wa kumpenda mtu? Kila mtu na nafsi yake na sio mbaya ukionesha hisia za nafsi yako kwa uwazi kuliko kuwa mnafiki ukaonesha kwa kuendeshwa na njaa, uhuru wa mtu kuchagua upande umfaao uheshimimiwe.
 
Back
Top Bottom