Meneja wke ni mdada mmoja anajiita mjerumani,naskia alikuaga meneja wa 50 cent
😃😃
Yaani kama ni hivyo kazi bure, sema kuna upande mmoja wa moyo wangu unaniambia Harmonize ni jeuri maana sidhani kama kuna meneja mpumbavu kiasi hicho anayeweza kukubali idea za kipuuzi kama kinachofanyika.Wale mameneja biashara hawaijui kabisa wanakula hela bure za kondeboy na sara
Sijajua kama unatania au vipi ila kama ni kweli basi kuna shida mahala maana mambo anayoyafanya Harmonize ni very unprofessional.Meneja wke ni mdada mmoja anajiita mjerumani,naskia alikuaga meneja wa 50 cent
Akili yako haina akiliMI BADO NAULIZA HIVI KIBA KESHAMLIPA MAN WALTER??!AFU UKUTE NA YEYE KAFUNGA HII RAMADHANI😁😁😁
DuuuhMI BADO NAULIZA HIVI KIBA KESHAMLIPA MAN WALTER??!AFU UKUTE NA YEYE KAFUNGA HII RAMADHANI😁😁😁
Bila shaka anajifunza in a hard waysaivi anakurupuka tu dogo, tangu mwaka umeanza hakuna ngoma yake ilofikisha views 3m youtube na nadhani kama ataendelea kurupuka mwaka utapinduka bila hata views 5m kwa nyimbo alizotoa huu mwaka.
views wa teamo pekee wanaweza funika nyimbo zote za mmakonde, hakuna kitu kibaya ka kujazwa upepo na watu nawe ukajaa bila jiuliza wanamchango upi wakufika ulipo hata ukaanza watukana walokua reason ya wewe kufika hapo
Ex xxx. I. W vxxrxur vHiki kitu nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara tangia harmonize ameanza kufanya kazi zake mwenyewe.
It seems wanaosimamia biashara zake either hawana kauli yeyote ile juu yake au hawajui wanachofanya maana amekuwa ni mtu kurashiarashia mambo na kuyafanya katika viwango vya kawaida sana.
Moja ya hayo mambo ni juzi alipoachia collabo ya msanii wake na yeye halafu akaiweka kwenye akaunti yake youtube, nikajiuliza hivi hawa wanaomsimamia Harmonize wanashindwaje kumshauri kitu kidogo kama hicho!, unamsaini msanii aliyerelease E.P yake halafu breakthrough song unajiwekea wewe mwenyewe kwenye akaunti yako !!,
Hao subrcribers na viewers wa huyo msanii wake Dogo ibra watatoka wapi?, Lazima aambukize mashabiki zake wamfuatilie msanii wake mpya ili kesho na kesho kutwa ajitengenezee Brand yake ambayo itaweza kurudisha uwekezaji uliofanyika kwake (Ibra) pamoja na faida.
Kama ataendelea kulipualipua mambo kiholelaholela namna hii basi atapata wakati mgumu sana kuendeleza hiyo label yake mpya achilia mbali kujiendeleza yeye mwenyewe.
Hao managers wake ni muda wa kuprove kuwa sio mameneja jina, kama wanaona konde boy hasikii au hashauriki ni kheri kujitoa wamuache mwenyewe afe kifo cha kisanii cha asili.
Haya e isHiki kitu nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara tangia harmonize ameanza kufanya kazi zake mwenyewe.

😁Meneja wke ni mdada mmoja anajiita mjerumani,naskia alikuaga meneja wa 50 cent
Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara tangia harmonize ameanza kufanya kazi zake mwenyewe.