Jamani nimekutana na picha hii, nikawa nimefurahishwa na huo mtindo wa hilo vazi la bluu. Msaada: Nani mbunifu wa hilo sulupwete? Mama katoka as black beauty, Afro....no vipodozi etc. Wewe unaonaje hapo?
masasi mtwara hapo hao ni wanafunzi wa hospital ya mkomaindo na huyo ni teacher wao akiwaambia unesi ni wito mumekimbilia huko kuweni wapole
Conquest- vazi ni vazi angekuwa mzungu just yess wabongo ni pamaba nyepezi:A S 13: