Nani mbabe: Black Mamba vs King Cobra

Utakuwa humjui black mamba,
nyoka wote unaweza kucheza nao ila sio black mamba,
hanaga urafiki kabisa,
akihisi kwamba yoyote ameingia kwenye territory yake,
hakikisho la kwanza ni kukusaka hadi akupate mmalizane kwanza ndio mambo mengine yaendelee
Black Mamba ni chakula cha Nyegere (Honey Burger)
 
Nyoka ukimuogopa lazima atakudhuru, me hua nawapenda sana kuwa chezea.Ukiwaona huko kwako nikamatie niwachunguze.
Mkuu nahisi unahamu ya kuongeza kitu kwenye siridi ya maisha yako yani unacheza na nyoka duuh

Hao viumbe mi siwakubali hata kidogo aisee. Huwa nawashangaa sana watu kama wewe mnaopiga nao story kabisa.
 
Utakuwa humjui black mamba,
nyoka wote unaweza kucheza nao ila sio black mamba,
hanaga urafiki kabisa,
akihisi kwamba yoyote ameingia kwenye territory yake,
hakikisho la kwanza ni kukusaka hadi akupate mmalizane kwanza ndio mambo mengine yaendelee
Duh!!!,Hivi Koboko ndo Black mamba??.
 
Kiujumla black mamba ana sumu kali kuliko king cobra,lakini linapokuja suala la mapambano ya ana kwa ana king cobra atashinda kutokana na kuwa na body size kubwa na ni mrefu kuliko black mamba.

Kwahiyo king cobra ana uwezo wa kumuua na kummeza black mamba.king cobra ni snake eater.

Kama ikitokea kiukweli black mamba ata escape pambano kutokana na wepesi wake wa kushambulia na kujihami.
 
Picha
 
Hiyo ndio point
 
Utakuwa humjui black mamba,
nyoka wote unaweza kucheza nao ila sio black mamba,
hanaga urafiki kabisa,
akihisi kwamba yoyote ameingia kwenye territory yake,
hakikisho la kwanza ni kukusaka hadi akupate mmalizane kwanza ndio mambo mengine yaendelee
Sio kweli, black mamba sio aggressive kihivyo, shida I naanza pale anapohisi Usalama wake uko hatarini, umemkanyaga, umezuia njia ama yupo cornerd hapo ni lazima akushambulie nje na hayo hapana, aisee.

Akiwa pissed off.. Ni mtata kuliko nyoka wengine.

Unaweza ishi na black mamba karibu na pango lake kwa kipindi kirefu wakat yeye anajua uwepo wako hapo, ila wewe ujui kuwa yuko hapo, na siku akijua umejua kuwa yale ndo makazi yake anahama.

Black mamba kama nyoka wengine wenye sumu kwa asili si wapenda shali, mara nyingi ikiwa hakuna ulazima wa mapambano uchagua kukimbia.
Hakuna nyoka duniani anae muona mtu na kumkimbilia kwenda kumuuma,hayupo.
 
Cobra nimewaua sana majira ya kiangazi, nilikuwa nikimwona, anatabia ya kuvimba kichwa na kusimamia mkia..hapo ndipo humpiga na kujivingisha kwenye rungu
Kuna kitu tuna changanya, kuna Cobra na king cobra hivi ni vitu viwili tofauti japo vina shabiiana kwa namna fulani.
Africa hatuna king cobra, tuna cobra tu.
King cobra wapo Asia tu, na ndo nyoka mwenye umbo na urefu mkubwa kwenye kundi la nyoka wenye sumu.
King cobra aliyekomaa ana urefu hadi ft 13/14..
Sasa fikiria kitu chenye urefu huo kisimame mbele yako, kinakuwa kinakutazama kama katoto.

Kwenye battle ya king cobra na black mamba, king cobra anamaliza pambano kwa sekunde kadhaa.
 
Asante kwa elimu mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…