Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,472
- 25,397
Wakuu leo ni siku ya wanawake duniani na hivyo basi leo nataka tumpate malkia wa nguvu wa JF .
Msichana/Mwanamke yupi unaona anafaa kuwa malkia wa JF?
Twende kazi.
Msichana/Mwanamke yupi unaona anafaa kuwa malkia wa JF?
Twende kazi.