Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Nahisi kwangu kuondokewa na wazazi mapema na maisha niliopitia imenifanya niwe mtu wa hasira sn!
kama mke wa mzungu mashariki ya kati vile.
Pole sana.
What are the common motivators of life you know that motivated you to become who you are ?
Watu gani au kitu gani kimechangia kukufanya wewe uwe jinsi ulivyo?
Mwenzenu namshukuru sana 1.Bosi wangu kwa kunipa msukumo wa kutoka nilipo tena kwa hasira! Ile hasira ilinisukuma nje ya ajira kwa kipindi.Niliponyanyuka........ sikutizama nyuma.The rest is history!
2. Namshukuru mwalimu wangu wa Physics - yeye hakuamini kuwa mwanamke anaweza masomo magumu ya sayansi. Ile hasira aliyonipa basi ikanipeleka kwenye vilele ambavyo sikuwa nimevitarajia.
mhh..nisimalize utamu wote hapa... hebu nanyi semeni....
Nahisi kwangu kuondokewa na wazazi mapema na maisha niliopitia imenifanya niwe mtu wa hasira sn!
Get a life... is it any of ur biz what i write or say?Mwanasayansi unakuja na trivial topics kama hizi! Jukwaa la Science na Technology tunataka kujua nani zaidi kati ya Newton na Einstein.
Pole sana Maria....
but u know what.... life has to go on hata kama umepitia mtihani mgumu namna gani.Hasira itakufanya usisonge mbele.
Je hiyo hasira unafikiri inakupa msukumo chanya katika maisha yako?
Yes my dia imenipa msukumo wa kuyakabili maisha na kuzidi kupigana nayo na kufika kule ambako sikutarajia haha haha saa nyingine inasaidia sna aisee :smile-big::smile-big: