Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Mkuu Ndumbayeye Umekipenda hicho Kikuku cha mguuni mwa Irene Uwoya?????? Je hizo Bangili za Jackline wolper ? Kwa Macho yangu mimi ninaona wanashindana hawa wote 2 ngoma itakuwa ni Droooooomtihani. ila nimependa hicho kikuku
wote hovyo. Walikosa malezi ya msingi na hivyo ni vyanguuu wa kawaida ambao hawajui hata wanachofanya zaidi ya kuishi kama hayawani. Wanapaswa kuhurumiwa. Maana wanateseka. Hali itakuwa ngumu watakapofikia umri wa utu uzima wakijikuta hawawezi kuwa na familia wala staha. Hawa faida yao ni kwamba ni somo kwa vijana wengine wanaopenda kuishi maisha ya heshima na furaha.