lilikuwa igizo lingine Tanesco walitoa ofa kwa wenye salio
Matatizo ya mitambo !,mbona hayana maelezo.Mara nyingi kukiwa na uharibifu au marekebisho maelezo hutolewa na kuombwa radhi.Mbona safari hii kulikuwa na kuombwa radhi tu.jamani mbona hayo ni matatizo ya mtandao
Matatizo ya mitambo !,mbona hayana maelezo.Mara nyingi kukiwa na uharibifu au marekebisho maelezo hutolewa na kuombwa radhi.Mbona safari hii kulikuwa na kuombwa radhi tu.
Kabla maelezo mimi natoa hisia zangu ambazo nimezipata mtaani kwetu.Kwamba eti kuna jamaa huko Tannesco mwenye chuki na uislamu aliyedhamiria kuwaudhi tu na hivyo kuchomoa utambi na kukimbia nao.Ndio maana akina Badra hawana maelezo.
<br /><b>Tanesco waliruhusu maeneo yote kuwa na umeme bila mgao katika siku mbili za sikukuu, swali ni kuwa je umeme huo ulitoka wapi, msemaji wa tanesco alisema kwa kuwa viwanda havitakuwa vikifanya kazi, basi umeme hautakuwa na mgawo. swali? Je viwanda vyote vina line tofauti na makazi ya watu?.<br />
<br />
Maoni yangu: itambo ya LuKU ilizimwa ili kubalance inadi ya watu watakao kuwa na umeme, idadi kubwa ya wanchi waliingia kwenye janga hili</b>