Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,146
- 6,008
Mkuu wa majeshi anasema Tusiingize Jeshi kwenyemambo ya kisiasa, Wakati huo anayejiita Amiri Jeshi Mkuu ni Mwanasiasa Mkuu!
Unasema Jeshi lisiingizwe kwenye siasa kabla na wakati wa uchaguzi, Ila baada ya uchaguzi una deploy wanajeshi kila kona ya nchi for what? Kulinda amani baada ya tukio la kisiasa! ambalo mlidai hamhusiki!.
Siasa ina nafasi kubwa katika uhai wa amani, usalama na utulivu wa nchi. Kusema vyombo vya usalama havihusiki na siasa katika kipindi cha kabla na wakati wa uchaguzi, Kisha baadaye kuonekana mitaani mkilinda usalama baada ya tukio la kisiasa ni unafiki wa hali ya juu na inaonesha mnatumika kwa maslahi ya wanasiasa.