Nani kawapa hao waumini wa "Wakatoliki" kibali cha kuandamana? Polisi kwanini hatujawaona wakiwa na risasi?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Nina maswali machache.

Tushazoea utaratibu wa taifa hili waandamanaji wanapigwa risasi kwanini hawa imekuwa tofauti?

Hao Wakatoliki walioandamana, kibali cha kuandamana walitoa wapi ?

Je wangeanzisha vurugu na "kuhatarisha" usalama wa raia wema na mali zao?

Na kwanini hatujaona Polisi wakiwasindikiza wakiwa na mabomu na vifaru vya kijeshi?

Hii nchi maandamano kwanini yanakuwa ya kibaguzi?
 
Asante mkuu kwa "kutukumbusha"!Tunawandalia kibali cha maandamano si muda.Tukitokea kwenye "comical press conference" tutakiinua juujuu mkione.Umesomeka.
 
Wakuu,

Nina maswali machache.

Hao Wakatoliki walioandamana, kibali cha kuandamana walitoa wapi ?

Je wangeanzisha vurugu na "kuhatarisha" usalama wa raia wema na mali zao?

Na kwanini hatujaona Polisi wakiwasindikiza wakiwa na mabomu na vifaru vya kijeshi?

Hii nchi maandamano kwanini yanakuwa ya kibaguzi?
Kuna mtu nchi hii ana hasira sana na Kanisa Katoliki. Lakini kila anachokifanya kujaribu kuliumiza kanisa anaumia yeye zaidi.
 
Wakuu,

Nina maswali machache.

Tushazoea utaratibu wa taifa hili waandamanaji wanapigwa risasi kwanini hawa imekuwa tofauti?

Hao Wakatoliki walioandamana, kibali cha kuandamana walitoa wapi ?

Je wangeanzisha vurugu na "kuhatarisha" usalama wa raia wema na mali zao?

Na kwanini hatujaona Polisi wakiwasindikiza wakiwa na mabomu na vifaru vya kijeshi?

Hii nchi maandamano kwanini yanakuwa ya kibaguzi?
Hao ni Bakwata na UVCCM ndiyo maana hawaguswi kwani wametumwa na mwenyekiti wao ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu.
 
Wakuu,

Nina maswali machache.

Hao Wakatoliki walioandamana, kibali cha kuandamana walitoa wapi ?

Je wangeanzisha vurugu na "kuhatarisha" usalama wa raia wema na mali zao?

Na kwanini hatujaona Polisi wakiwasindikiza wakiwa na mabomu na vifaru vya kijeshi?

Hii nchi maandamano kwanini yanakuwa ya kibaguzi?
Hakuna maandamano pale. Wale walikuwa watembea kwa miguu.
Hawa watu. Wa ccm huwa ni wajinga sana.
Dunia imebadilika siyo ya propaganda Tena.
Watu hawana maji ya kunywa unamshambulia kitima? Nani atakuelewa?
Ivi Kuna mtu aliweza kujibu hoja yyte ya kitima au warioba?
Yaani mchange amjibu kitima ? Seriously??
 
Hata mtoto mdogo anajua hili ni dili la Maderu.. siasa zake zilezile za wakati wa kina Lwakatare kuwa ni Gaidi na yeye ndiye mwenye ushahidi na anatembea nao kwenye flush memory.

Bado anafikiri wa TZ wa 2026 ni wa kudanganya kitoto hivyo.
 
Back
Top Bottom