Nani kawaambia???

Nani kawaambia???

Given Edward

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
850
Reaction score
203
Jambazi kaingia kanisan na mtutu huoo! Akauliza, "Nani humu anataka kwenda mbinguni?"
Waumini wote wakamnyooshea pastor. Pastor akajibu "NANI KAWAAMBIA? Mi nimesema lini?
 
Back
Top Bottom