Katika Inchi yeyote kuna madaraja matatu makuu ya watu kiuchumi.
1. Daraja la juu
2. Daraja la kati
3. Daraja la chini.
Rais aliyeko madarakani amekamata daraja la chini ambalo ndilo lenye zaidi ya asilimia 80 ya wapiga kura.
Madaraja mawili ya juu ambayo watu wake wanaishi mijini, wengi hawana furaha na maisha kwa sababu hawana pesa za kukidhi mahitaji yao kama iliyo kuwa huko nyuma. Kwa vyovyote vile hawatampa kura Raisi aliyeko madarakani.
Kwa mantiki hii hakuna mgombea yeyote atakayeweza kumtoa jasho raisi aliyeko madarakani.
Uchaguzi wa mwaka 2020 utakuwa rahisi sana kwa Raisi aliyeko madarakani kuliko ilivyokuwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.
Wagombea ambao walikuwa na nguvu za pesa mwaka 2015 hawatakuepo tena kwa sababu mfumo wa uchumi umewafanya wafilisike wao pamoja na wafadhili wao.
Kwa Inchi yetu bila pesa za kutosha huwezi kufanya kampeni za kutosha na kusimamia kura zako.