Uchaguzi 2020 Nani kati ya hawa anafit kuchuana tena na Rais Magufuli 2020 (UKAWA)

Kiukweli kama kuna mtu anaona Lissu naye kama mtu sahihi wa kumpa Uongozi wa Nchi yetu basi akimbilie Milembe haraka sana. Nasema akimbilie wodi ya Vichhaaa kabla hajavua nguo. Lets be serious wadau na tuweke pembeni ushabiki LISSU???????? URAIS???????? WA NCHI??????? Hii ni ndoto ya Teja!
 
Kwa hali ya siasa ya sasa.. Wananchi wamemchoka Magu..

Kwahiyo hao uliowataja wapo level za mbali Sana.. Magu Hana uwezo wakusimama na hao watu kama kutatumika democracies,
Kwasasa jiwe anaweza angushwa kwenye sanduku LA kura hata na Diwani wa cdm au Ester Bulaya. Hawa ndio wanaweza simama na mkuu jiwe.
 
Huu ndio ukweli mchungu kwa wachumia tumbo wote wa Lumumba fc
 
Nasikitika sana kulishwa tango pori na TUKI.

Ni kweli nimeshindwa kuelewa huu msamiati.......
acha unafiki na kutaka kujifanya wewe ni great thinker,kama upo sawa kichwani ungechangia hoja za mleta uzi na si kujifanya mkosoaji wa comment za watu,so sad and shame to have around such a stupid as you!
 
Back
Top Bottom