Nani kampa Membe cheo Cha mwanadiplomasia nguli?

Nani kampa Membe cheo Cha mwanadiplomasia nguli?

Ila tusimuonee huenda akawa the next Prezdaa 2025, ya Mungu mengi. Maana hata JK alikosa 1995, then 2005 akapata. Nani ajuae ya kesho.
Ila sasa kwa ninyi wapiga debe wa Bernard, mtusaidie au yeye mhusika mkuu atusaidie mambo machache.

Wakati mmoja akizungumza kwenye dk 45 ITV aliulizwa una mpango wa kuingia magogoni. Akasema kama akioteshwa. Mpaka akiwa anahojiwa alikuwa hajaoteshwa. Siku za baadae tukamwona kwenye kinyang'anyiro.

Je alioteshwa? Ndoto yake kama ilikuwa public ni ipo ili nasi ambao tingependa kuwa wafuasi tuifuate?
Dr. Martin Luther King Jr, ndoto yake ilikuwa na clarity;
Mahtama Gandhi ndoto yake ilikuwa na clarity;

Bernard kasoma seminary, maandiko yako wazi...Write the vision; make it plain on tablets, so he may run who reads it...
Ni nani anaijua njozi ya Bernard kuhusu Tanzania wakati anachukua form 2015; okay, wajumbe wa NEC-CCM walimla kichwa. Kwa sasa bado anakomaa; Sio vibaya kutujuza njozi yake plainly ili tumuamini "Mr. Next Prezadaa in the making" maana ni kama muda unakwenda ila hatujui, kiongozi huyu angependa kutupeleka wapi iwapo Watanzania atatufuata tena kutuomba ridhaa.
 
We mwanamke acha wivu wa nyegele hivi wakati chama chako kinamteua huyu anaetuletea majanga ulikuwa wapi kama sio kutumika? kwa taarifa yako wagombea ni wawili ambao kati yao mmoja ni rais yaani LISSU Vs MEMBE hayo mambo mengine ya kutumwa kama jini achana nayo usije jitia mikosi ukaishia kuwa nungayembe
 
Ana lolote ni wapinzani ndio wanampa hayo majina mara kechero nguli utasikia wakisema jasusi wa kimataifa,wanataka kumkopa kwenye chaguzi zijazo si unajua ukiwa ikiongozwa na saccos ya chadomo hawana rasilimali watu kwahiyo wanawatafuta malaya wa kisiasa wenye uroho wa madaraka kama walivyo wao alafu wanawajaza sifa za kijinga na kuwapa nafasi ya kupima upepo.
Yeye alikuwa ni Mchezaji Kiungo wa awamu ya J.Kikwete, na ndiyo maana unaona Uchumi ulipaa kwa 7.8, hii ni kwa sababu alifanikisha kujenga Mahusiano mazuri na wawekezaji mbali mbali duniani.mnajifanya Hamjui.
 
Membe amekuwa balozi, Membe ni security officer, Membe amekuwa Waziri wa mambo ya nje miaka 10 mfululizo. Bado wewe tahila unauliza eti nyoko nyoko. Kwa taarifa yako kwa muktadha huo tu, ndio Maana anaitwa wala hajiiti, anaitwa mwanadiplomasia nguli na jasusi nguli.
 
Pamoja na takataka zako zote ulizoainisha bado unguli wa Membe katika diplomasia na ujasusi utabaki kuwa palepale, kama una akili japo kidogo nadhani unafahamu ya kuwa sifa hizo haziendani na vituko vile vya kinafiki wa kughilibu wananchi vya ' kutetea wanyonge' na kuwadhalilisha wananchi kuwaamisha kuwa unyonge ni sifa.

Ujasusi ni profession na unguli wake hapo umekuja kutoka na experience yake kwenye hiyo profession na nafasi alizofanyia na uanadiplomasia halikadhalika unatokana na nafasi alizofanyia kazi.

Having said so huwa simkubali katika mambo mengi lakini hii si sababu ya kukataa hata sifa zake za wazi na anazozistahili.
 
THANKS
WE MWANAMKE UMEOGA ?? UNAKUJA NA BANDIKO LA KIJINGA HUKU HUJAONDOA SHOMBO.

MEMBE NI MWANADIPLOMASIA NGULI HALINA UBISHI NDIO MAANA AMEKUWA WAZIRI WA MASHAURI YA NJE KWA MIAKA 7.

KUHUSU JIMBONI KWAKE ALIKOHUDUMU KAFANYA MENGI TU .IKIWEMO KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA.

NAJUA BANDIKO LAKO NI LA KUPIMA UPEPO ! MISINGI YA WIVU KABISA .

STAY TUNED 2020 MBIVU MBICHI UTAZIJUA.

MEMBE NI MBOBEZI NGULI KATIKA DIPLOMASIA NA NI JASUSI NGULI.

ONCE SPY ALWAYS SPY.
 
Why get worried about Membe he is just a fellow Tanzanian! Maccm acheni woga! Vikundi vyenu hivyo ndivyo vinafanya kazi hiyo.
 
Mwana-diplomasia nguli na jasusi nguli... sawa kabisa, sawa kabisa.

Kwa nafasi yake kama nguli wa diplomasia, ni kwa namna gani kwa miaka 8 akiwa Waziri alihusika kufanikisha biashara ya Korosho kwenye jimbo moja la Mtama kuuzwa kama finished products na sio raw?

Obama alipokuja Tanzania alihamsisha, it is high time kwa Africa (Tanzania ikiwa sehemua ya Africa) kufanya biashara na Marekani. Yeye kama nguli wa diplomasia, alitumia vip unguli wake wa kijasusi pia, walau Mtama kwa kuanzia iwe beneficiary wa fursa za kibiashara zilizo Marekani.

Hizi ni fursa za AGOA. Kwa miaka 8 alifanya nini walau hata kuhasisha Watanzania wayajue haya?
Na kuna wana Mtama wangapi walau wanajihusisha na hilo soko ili kutoke hapo tu-build base ya kama haya alifanya, li-Tanzania hili angeliweza kiulaini kweli

Hivii kuna remarkable mark ipi ambayo ukifumba macho unaona, bila Bernard kuwa Waziri, Watanzania wasingepata hili?

Kuna wakati watu huwa tunawapa sifa ambazo hawana. Ila kwa wale watetezi, sio mbaya mkatuhubiria hayo mema ya msaka urais huyu aliengia kwenye 5-bora 2015 bila shaka tukasadiki.
Eti nguli au tunguli
 
Namjua mwanadiplomasia mbobezi SAS
sijajua kama ametokea mwingine
 
We mwanamke acha wivu wa nyegele hivi wakati chama chako kinamteua huyu anaetuletea majanga ulikuwa wapi kama sio kutumika? kwa taarifa yako wagombea ni wawili ambao kati yao mmoja ni rais yaani LISSU Vs MEMBE hayo mambo mengine ya kutumwa kama jini achana nayo usije jitia mikosi ukaishia kuwa nungayembe
kula like MKUU
 
Ujasusi ni mambo ya Siri. Huwezi kuambiwa, kubali tu alikuwa na uwezo mkubwa mpaka kuwa mshauri wa Rais masuala ya Usalama kipindi cha Nyerere. Acheni wivu wa kipumbavu
Mwana-diplomasia nguli na jasusi nguli... sawa kabisa, sawa kabisa.

Kwa nafasi yake kama nguli wa diplomasia, ni kwa namna gani kwa miaka 8 akiwa Waziri alihusika kufanikisha biashara ya Korosho kwenye jimbo moja la Mtama kuuzwa kama finished products na sio raw?

Obama alipokuja Tanzania alihamsisha, it is high time kwa Africa (Tanzania ikiwa sehemua ya Africa) kufanya biashara na Marekani. Yeye kama nguli wa diplomasia, alitumia vip unguli wake wa kijasusi pia, walau Mtama kwa kuanzia iwe beneficiary wa fursa za kibiashara zilizo Marekani.

Hizi ni fursa za AGOA. Kwa miaka 8 alifanya nini walau hata kuhasisha Watanzania wayajue haya?
Na kuna wana Mtama wangapi walau wanajihusisha na hilo soko ili kutoke hapo tu-build base ya kama haya alifanya, li-Tanzania hili angeliweza kiulaini kweli

Hivii kuna remarkable mark ipi ambayo ukifumba macho unaona, bila Bernard kuwa Waziri, Watanzania wasingepata hili?

Kuna wakati watu huwa tunawapa sifa ambazo hawana. Ila kwa wale watetezi, sio mbaya mkatuhubiria hayo mema ya msaka urais huyu aliengia kwenye 5-bora 2015 bila shaka tukasadiki.

Mimi hapa ndio niliompa sifa hizo lakini sio vyeo fahamu matumizi ya maneno hayo
 
Nimejipa muda kusoma kwa kina hoja za watetezi wa Bernard aka "mgombe wa Urais"

Basi, Tanzania yawezekana tukawa na safari ndefu ya kupata thinkers ukijumuisha wanaojadiliana JF jukwaa la great thinkers. Ukisoma hoja za watetezi wa mwanadiplomasia "mbobevu" wanashindwa kujenga hoja (instead wanatukana matusi ambayo hayana uhusiano wowote na hoja ya mezani) ili kumjibu Beatrice japo kwa mantiki na kwa akili kwa kuwa wanaemtetea the said to be an intelectual person kwa kuwa alifanya kazi na Intellinge organization...

Hapo ndipo utawalewa wazungu wanasema show me your friend, I can tell who you're...
 
Watanzania wengi tuna tabia ya kumpaka mafuta mtu kwa mgongo wa chupa, tunatabia ya kumwonea mtawala na tajiri huruma pale anapokuwa ananyanyasika au ameyumba kidogo lakini hatuna tabia za kulia na watu wazalendo wala wasiokuwa na kitu.

Mzee Membe amekuwa kwenye utawala na amekula mema ya nchi kwa miaka mingi na kipindi chote hicho hakuwa kujishusha na kuwa muungwana wa kuwasaidia maskini na wasiojiweza, hakuwahi kulia na waliolizwa na tawala alizokuwa anazitumikia bali miaka hiyo yote alikuwa upande wa ukandamizaji wa serikali dhidi ya wanannchi.

Leo amekaa pembeni tumeanza kumpa sifa zisizofaa, kumwita membe jasusi nguli bila kutueleza faida za ujasusi wake kwa Taifa ni kudhiaki majasusi Duniani. Kumwita Membe mwanadiplomasia nguli bila kutueleza ubobezi wake kwenye diplomasia ni kuwatukana wanadiplomasia Duniani.

Hakuna Mambo yakimaendeleo kwa nchi yaliyoletwa na mzee huyu ambayo tunayaona na ambayo yanatushawishi kuona kwamba anapaswa kuungwa mkono, huyu amejituliza na kujiunga kundi la wanyonge kwa sababu tu anataka wanyonge wamwinue arudi kileleni lakini akifika kileleni hawezi kuwakumbuka waliomnyanyua.

Angalia jimboni kwake amefanya nini hadi tuseme anafaha kutuongoza kama Taifa.

Hakuna mwanachama aliyelelewa na kukulia kwenye siasa za chama tawala anaweza kulia na wanaolia bali anao uwezo wakupaka mate machoni tukajua analia kumbe anatusindikiza kulia.

Let us be serious na tutoe sifa kwa watetezi wa Taifa letu waliokubali kuteswa kwa ajili yetu na bado wanapigania kutukomboa.

Mwisho, sikubaliani kabisa na kauli ya Jasusi nguli wala mwanadiplomasia nguli ...sifa hizi wapewe waliotenda Mambo ya kulikomboa Taifa siyo kutukandamiza.
Ni makamanda Wa bavicha ndiyo wamempa hiyo sifa. Kwao yeyote yule anayeonekana kupingana na utawala Wa Magufuli ni jembe, bingwa, shujaa na kila aina ya sifa njema ilhali historia ya huyo haina lolote ka maana kwa nchi hii au INA mawaa mengi
 
Ujasusi ni mambo ya Siri. Huwezi kuambiwa, kubali tu alikuwa na uwezo mkubwa mpaka kuwa mshauri wa Rais masuala ya Usalama kipindi cha Nyerere. Acheni wivu wa kipumbavu
Kipindi cha Nyerere! Membe huyu? Au mwingine!
 
Nimejipa muda kusoma kwa kina hoja za watetezi wa Bernard aka "mgombe wa Urais"

Basi, Tanzania yawezekana tukawa na safari ndefu ya kupata thinkers ukijumuisha wanaojadiliana JF jukwaa la great thinkers. Ukisoma hoja za watetezi wa mwanadiplomasia "mbobevu" wanashindwa kujenga hoja (instead wanatukana matusi ambayo hayana uhusiano wowote na hoja ya mezani) ili kumjibu Beatrice japo kwa mantiki na kwa akili kwa kuwa wanaemtetea the said to be an intelectual person kwa kuwa alifanya kazi na Intellinge organization...

Hapo ndipo utawalewa wazungu wanasema show me your friend, I can tell who you're...
you are the most arrogant JF Member of this SUNDAY ! SHAME ON YOU !

UNATAPOST NYUZI ZA KUTAKA TEUZI! UNAJIPENDEKEZA SANA KWA JIWE !

MWANGALIE MTATIRO ANASUGUA GAGA !

HONGERA KWA KUTIA AKILI ZAKO MFUKONI!

SHAME UPON THOSE WHO TAUGHT YOU ! 😂😂

HONGERA SANA KWA KUCHAGUA UJINGA.

NENDA KANUNUE PAMPASI UVAE, UKISIKIA JINA LA MEMBE UNAJ.INY.E.A POLE SANA 2020 MTAJIBEBA, POMBE LAZIMA IMWAGWE!😃😃😁😁😂😂😄😄😅😅😆😆😀😀
 
Back
Top Bottom