Nani kamfukuza Rais wetu Dar?

Nakubaliana nawewe mkuu, kuhamia dodoma sio suala la kufa na kupona, ilitakiwa kujipanga kwa kika wizara kuanda miundo mbinu yake na kuweka malengo kulingana na budget zao, na srikali kwa unumla wake isaidie ili wizara ziweze kutimiza makengo yake lakini sizote kwa wakati mmoja.
 
Dodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
Makao makuu ya nchi yako Dodoma sehemu gani na lini nchi iliwahi kuendeshwa kutokea Dodoma?
Unafahamu nini maana ya "makao makuu ya nchi" au "the seat of government"?
 
Don't take it serious mambo mengine magufuli anaongea kufurahisha hadhira ili apate mass popularity,but deep inside him alicho kiongea sicho anacho maanisha.
mark my word 10yrs itaisha(km atatoboa 2020) na dodoma hato hamia kamwe!
 
Dodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
akiendelea kukaa ikulu ya magogoni nafsi inamsuta, kwani kile kiti kilikuwa kinamwenyewe yaani EDWADO. Isitoshe NA UKAWA NDO WENYE JIJI, kila akigeuka kulia au kushoto kuna joto
 
Dodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
Hivi wewe unaelewa maana halisi ya MAKAO MAKUU YA NCHI kweli!?

Hivi kwa akili yako, makao makuu halisi yangekuwa Dodoma, leo hii rais angekuwa anahaha kuhamia Dodoma!
 
Kitengo gani kinamshauri hivyo, hivi idadi ya kura za DSM na DOM zipi nyingi?

Hili jambo limesisitizwa na limerudiwa tena na tena soma hata hapo post#84, so wito wangu ni tujaribu kutoa mawazo bora kwa serikali ni jinsi gani wanaweza kufanya smooth shifting from dsm to dom sio kupinga na kuwakatisha tamaa tena.


 
Mbona hujiulizi pesa atakayolipa yule jamaa wa EFD feki zitaenda wapi? Mbona hujiulizi wawekezaji kadhaa waliokuwa wakikwepa kulipa kodi watalipa na pesa itaenda wapi?. Kuna pesa nyingi imebaki benki haina kazi, Dodoma makao makuu yanahamia.
 
Ni gorofa lipi zuri mkuu ili namimi nikachungulie kidogo
tena na hao wanafunzi naambiwa wakipewa mikopo wanatumia ovyoovyo,watanzania wenzangu nasema kwa dhati toka moyoni,nawahakikishieni mkinipa ridhaa hao wote nitarara nao mbere
 
Ukawa Kwa upande wa kuhamia Dodoma hawana tatizo kabsa wanakubali Kwa dhati , lakini Udikteta wa kuzuia mikutano na Udikteta wa spika na ile kamati ya mkuchika ndilo Adui ya Ukawa .
 
Harufu ya samaki, pia ikulu ipo Jirani na Bahari nyambizi za Adui ni rahisi kupenya usiku ,vilevile kero ya foleni na misafara inatakiwa ipunguzwe ili jiji lipumumue na kuharakisha maendeleo , wanataka Dodoma paendelee Kwa kasi huku mikoa yote ikipiga Hatua zaidi za maendeleo .
 
UKAWA tunatisha baada ya Dodoma tutaambiwa MWANZA hiyo Dodoma toka nimezaliwa nasikia watahamia leo ghafla bin vuu muasisi alitamani sana ahamie lakini CDA ikamuangusha itasababisha wagogo wapangishe chumba kimoja 150,000/=
Sasa vyumba na nyumba za kupanga zitakuwa Dili Dodoma uwekezaji wa kasi juu ya nyumba za kupanga unahitajika sasa wenye uwezo Nina hakika sasa wameenda kununua viwanja tayari .
 
Dodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
Wengi wao ukiwauliza makao makuu ya nchi ni mkoa gani husihia kusema ni Dar Es Salaam,hawajui huu uamuzi ulichukuliwa miaka mingi ya nyuma,na hili jambo la kuhamisha makao makuu Tanzania sio ya kwanza Kuna Nigeria,Kuna Malawi ,Brazil.Tatizo watoto wa siku hizi wamebaki kukariri akina Dangote na ujinga wa magazeti ya udaku
 
hamna anaehoji makao makuu yako wapi, kila mtu analifahamu hilo, kinachohojiwa ni huku kukurupuka, huu uamuzi haukuwepo June, ghafla july watu wanataka kuhamia Dodoma September, what is cooking behind
 
UKAWA tunatisha baada ya Dodoma tutaambiwa MWANZA hiyo Dodoma toka nimezaliwa nasikia watahamia leo ghafla bin vuu muasisi alitamani sana ahamie lakini CDA ikamuangusha itasababisha wagogo wapangishe chumba kimoja 150,000/=
Well said mkuu! Hata juz kwenye likao lao ajenda kuu ilikuwa ni kujikosha+kujifariji! Mpka walienda kinyume na kina jecha wao wakidai ushnd wa 100%!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…