Nani kamfukuza Rais wetu Dar?

Nani kamfukuza Rais wetu Dar?

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,836
Reaction score
1,845
Mh Rais na Serikali yake hawakuwa na mpango wa kuhamia Dodoma at least mpaka may mwaka huu na sijui hii ghafla kashauliwa na nani. Hebu angalia yafuatayo
  1. Kama angekuwa na huu mpango katika bujeti ya 2016/2017 wangeweka fungu la kuhama, lakini hakuna fungu la serikali kuhama katika bajeti hii
  2. Kama angepanga kuhama mapema kiasi hiki waziri mkuu katika majumuisho yake katika bunge la bajeti angetoa taarifa hii ili kuwapa mawaziri taarifa rasmi na muda wa kuhama. lakini hili halikufanyika
  3. Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki CCM wasingehangaika kulazimisha kuchakachua matokeo ya umeya wa jiji (wote mnakumbuka zile sarakasi). Hii ni kwasababu wangujua kuwa wanahama na DODOMA ni ngome yao hivyo wasingepata wasiwasi wa eti rais hawezi kuwa katika jiji linaloongozwa na UKAWA.
  4. Kama angekuwa na mpango wa kuhama, nna uhakika asingepeleka bil 12 mahakamani kwa mkupuo wakati wizara zake zote hazina bujeti ya kuhamia Dodoma katika fedha walizotenga.
  5. Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki asingejikita katika ujenzi wa flyover Dar eti ili kupunguza foleni wakati barabara za Dodoma ni nyembamba ka mti, angesubili serikali ihamie Dodoma ili wafanye assessment kama bado kuna ulazima wa hizo flyover Dar hasa baada ya wafanyakazi wa serikali kuhamia Dodoma
  6. Kama angekuwa anampango wa kuhama mapema, asingezuia miradi mipya ya NHC kuendelea hasa ile ya Dodoma, kwa kuzingatia uhitaji wa nyumba utakaoongezeka katika mji huo mkuu
Kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar? Magogoni kuna nini?
 
mode usiunganishe huu uzi popote

Kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar? magogoni kuna nini?
 
  1. kama angekuwa na huu mpango katika bujeti ya 2016/2017 wangeweka fungu la kuhama, lakini hakuna fungu la serikali kuhama katika bajeti hii
  2. kama angepanga kuhama mapema kiasi hiki waziri mkuu katika majumuisho yake katika bunge la bajeti angetoa taarifa hii ili kuwapa mawaziri taarifa rasmi na muda wa kuhama. lakini hili halikufanyika

  4. kama angekuwa na mpango wa kuhama, nna uhakika asingepeleka bil 12 mahakamani kwa mkupuo wakati wizara zake zote hazina bujeti ya kuhamia Dodoma katika fedha walizotenga.
  5. kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki asingejikita katika ujenzi wa flyover Dar eti ili kupunguza foleni wakati barabara za Dodoma ni nyembamba ka mti, angesubili serikali ihamie Dodoma ili wafanye assessment kama bado kuna ulazima wa hizo flyover Dar hasa baada ya wafanyakazi wa serikali kuhamia Dodoma
  6. kama angekuwa anampango wa kuhama mapema, asingezuia miradi mipya ya NHC kuendelea hasa ile ya Dodoma, kwa kuzingatia uhitaji wa nyumba utakaoongezeka katika mji huo mkuu
kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar?? magogoni kuna nini??
Mtazamo hafifu na finyu sana.
 
Amekimbia foleni za dar, mgao wa umeme na mgao wa maji unafanya mchezo nini, dodoma kuna kila kitu
 
mode usiunganishe huu uzi popote

Mh Rais na Serikali yake hawakuwa na mpango wa kuhamia Dodoma at least mpaka may mwaka huu na sijui hii ghafla kashauliwa na nani. Hebu angalia yafuatayo
Kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar? magogoni kuna nini?

Dodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
 
mode usiunganishe huu uzi popote

Mh Rais na Serikali yake hawakuwa na mpango wa kuhamia Dodoma at least mpaka may mwaka huu na sijui hii ghafla kashauliwa na nani. Hebu angalia yafuatayo
  1. kama angekuwa na huu mpango katika bujeti ya 2016/2017 wangeweka fungu la kuhama, lakini hakuna fungu la serikali kuhama katika bajeti hii
  2. kama angepanga kuhama mapema kiasi hiki waziri mkuu katika majumuisho yake katika bunge la bajeti angetoa taarifa hii ili kuwapa mawaziri taarifa rasmi na muda wa kuhama. lakini hili halikufanyika
  3. Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki CCM wasingehangaika kulazimisha kuchakachua matokeo ya umeya wa jiji (wote mnakumbuka zile sarakasi). Hii ni kwasababu wangujua kuwa wanahama na DODOMA ni ngome yao hivyo wasingepata wasiwasi wa eti rais hawezi kuwa katika jiji linaloongozwa na UKAWA.
  4. kama angekuwa na mpango wa kuhama, nna uhakika asingepeleka bil 12 mahakamani kwa mkupuo wakati wizara zake zote hazina bujeti ya kuhamia Dodoma katika fedha walizotenga.
  5. kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki asingejikita katika ujenzi wa flyover Dar eti ili kupunguza foleni wakati barabara za Dodoma ni nyembamba ka mti, angesubili serikali ihamie Dodoma ili wafanye assessment kama bado kuna ulazima wa hizo flyover Dar hasa baada ya wafanyakazi wa serikali kuhamia Dodoma
  6. kama angekuwa anampango wa kuhama mapema, asingezuia miradi mipya ya NHC kuendelea hasa ile ya Dodoma, kwa kuzingatia uhitaji wa nyumba utakaoongezeka katika mji huo mkuu
kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar?? magogoni kuna nini??
UKAWA ni Kiboko
Wamewafukuza mafisadi kwenye jiji la kimataifa DSM. Nendani huko kwa wagogo mtuachie Dsm yetu!! Hatutawaachia hadi dahari!! Yaliogopa kufanyia siku ya mashujaa DSM kwa woga wa Meya kushiriki!!
Ok Dsm ni Mji mkuu wa UKAWA na Dodoma mji mkuu wa CCM!!
Very good!!
 
Unataka kutuambia kuwa flyover wanajengewa watumishi wa mawizara waliopo Dar? wapo wangapi kwanza?
Hatuongelei nani kajengewa, asilimia kubwa ya wafanyakazi katikati ya jiji la dar es salaam ni wafanyakazi wa serikali, magari ya serikali jijini dar ni almost 25% ya magari yote. ...think then come again
 
Mkuu mimi nimeshangaa sana. Kwanini waziri mkuu anafanya monkey business? Yaani mzuku umepanda nahamia Dodoma!!!! Je budget hiyo imepitishwa na nani? Mawaziri wanaenda huko na naibu wao budget hiyo imepishwa wapi? Wakuu wa taasisi wote na idara zao wataishi huko kwa pesa za budget ipi? it's monkey business
 
Dodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
tunahoji uharaka wa kuhamia Dodoma bila maandalizi, kumbuka mwezi wa tisa WAZIRI MKUU anahamia , that means wizara zote ziwe Dodoma before mwezi wa TISA
 
hatuongelei nani kajengewa, asilimia kubwa ya wafanyakazi katikati ya jiji la dar es salaam ni wafanyakazi wa serikali, magari ya serikali jijini dar ni almost 25% ya magari yote. ...think then come again
Mkuu, ofisi za TAMISEMI hazihami ni serikali kuu tu ndio inahamisha makao makuu, hivyo STK, STL ya RC na DC, SM ya halmashauri hayatatoka Dar
 
Ukawa kweli tuna tisha , ccm wanaikimbia dar ? sasa tujitahidi 2020 tuwabadilishe wagogo ili huko nako wakimbie tena ..teh teh teh ...kwnn tutaichukua manspaa ya dodoma ? Makabila yanayoichukia ccm yatahamia pale ...eg wanyakyusa ..wakinga ..wachaga ..waha ...wanyiha ...wakiingia hapo dodoma , bc inakuwa rahisi sana kuwakimbiza ccm hata hapo dodoma
 
Jumanne SAA 2 na nusu asubuhi,kafanyeni kazi,hizi siasa zitawatia wendawazimu.Kama una akili kaanzishe mradi Dodoma utakutoa badala ya kukaa kuanzisha tu threads humu JF serikali ni hii hii ya JPM na huwezi ibadilisha,ukijua hilo tu Upo mbioni kupiga hatua.
 
Show ya juzi ya kukabidhi kijiti imewafurahisha sana watawala hadi wameamua wakapige kambi kabisa.
Pia refer sababu zilizomfanya mfalme ahamishe makazi yake toka Muscat to Zanzibar... Huenda zinashabihiana.
Mkuu wa mawaziri atakuwa anakimbia presha za kazi, maana kukaa karibu na bulldoza sio kazi ndogo hata kidogo.
 
Back
Top Bottom