Dean
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 636
- 244
Yahaya unaishii wapii?
huyu yahaya analala ofisin kwa ru naniii
Yahaya unaishii wapii?
unajua umeongea point sana ndugu yangu,na nilishangaa hujaona hii thread mana sikukuona ili tuwaambie ukweli hawa watu wasioelewa,ivi jamani kumbe mtu unaweza kusimama mwenyewe kwa miguu yako miwili na bado unalalama?kumbe madai yake yote ni uongo na uzushi mkubwa!na ni dhambi kubwa kuharibu image ya wengine kwa lengo la kujitangaza bure ili upate mashabiki siku ya uzinduzi mi nasema kama si mbinu yake hii ya kutangaza migogoro ya uongo na kweli sidhani kama angepata watu,halafu kitu ambacho watu wanashindwa kuelewa ni kwamba mwana FA (BINAMU)alichagua venue ya mbali mbali na makazi ya watu wengi na pia ni kiwanja kipya kwa uzoefu wa wengi na pia kiingilio kilikuwa kikubwa elfu hamsini ni mshahara wa mwezi kwa walio wengi na wanaopiga kelele humu walau ile elfu ishirini kwa Bibi ilikuwa affordable na pale MBUYUNI wengi waliweza kwenda watu wa kila aina na tumewaona,sasa kama BINAMU angeangalia hilo angejaa zaidi kwani nani asiyelijua hilo?ukweli ndo huo.Trust me!Sasa kama Jide ana utajiri wa kutosha, ana ushawishi wa kutosha, na kama yeye ni mwanamuziki bora wa kike mwaka huu, manung'uniko yake dhidi ya Clouds ni yapi hasa?
Mwana FA akiwa lecture room makumbusho jana usiku akielezea kuhusu rasimu ya katiba.
Hahahaaaaaa......inasikitisha aje....mwana fa kajiaribia mwenyewe...hata ay hakuwepo kwenye show manake nilimuona bbc aihojiwa..
Mwana FA akiwa lecture room makumbusho jana usiku akielezea kuhusu rasimu ya katiba.
hayo ni maneno tu omba sana yawe ya ukweliBwa Nchuchu keshajibu hili kama ni chuki basi mnayo na mtakufa huku mnaona!
unajua umeongea point sana ndugu yangu,na nilishangaa hujaona hii thread mana sikukuona ili tuwaambie ukweli hawa watu wasioelewa,ivi jamani kumbe mtu unaweza kusimama mwenyewe kwa miguu yako miwili na bado unalalama?kumbe madai yake yote ni uongo na uzushi mkubwa!na ni dhambi kubwa kuharibu image ya wengine kwa lengo la kujitangaza bure ili upate mashabiki siku ya uzinduzi mi nasema kama si mbinu yake hii ya kutangaza migogoro ya uongo na kweli sidhani kama angepata watu,halafu kitu ambacho watu wanashindwa kuelewa ni kwamba mwana FA (BINAMU)alichagua venue ya mbali mbali na makazi ya watu wengi na pia ni kiwanja kipya kwa uzoefu wa wengi na pia kiingilio kilikuwa kikubwa elfu hamsini ni mshahara wa mwezi kwa walio wengi na wanaopiga kelele humu walau ile elfu ishirini kwa Bibi ilikuwa affordable na pale MBUYUNI wengi waliweza kwenda watu wa kila aina na tumewaona,sasa kama BINAMU angeangalia hilo angejaa zaidi kwani nani asiyelijua hilo?ukweli ndo huo.Trust me!
Hakika Nimeamini mwana FA ni kiboko ya njia!kwamba anakubalika na watu wastaarabu na wenye hekima!ndo maana kama mliokuwepo mliona wote waliokuwepo ni watu wenye hadhi ya kimataifa,watu wasiopenda kujisifia,kitu kizuri jamani hujiuza!kibaya hujitembeza!tukija kwenye kiingilio utakubalana name kwamba ulilenga watu waliostaarabika na wasiopenda kubwabwaja ovyo ndo maana hata mtu mzima FA tangia alipochafuliwa jina lake hujaona akijibu kwa namna yoyote ile!Big up BINAMU! ......Team BINAMU hakuna kuwajibu wasiojua maana maana hawaambiwi maana!mjadala umefungwa na mshindi ni MWANA FA! mana ameonyesha ukomavu na BUSARA kwa kutomjibu bibi yetu!
Halafu kwa kuongezea kidogo tu ni kwamba pale makumbusho ya taifa kulipofanyika show ya binamu kuna wadau humu wanadhani ni bei saaaana kiasi kwamba binamu kaingia hasara au hawezi au vyovyote walivyodhani ni kwamba hata wewe uliyeshangaa unaweza kukodi ni rahisi sana simply coz ni ya taifa na wanavutia watu wengine wajue kama kuna kumbi kumbuka ni mpya bada ya kujengwa upya,sasa mtu unaposhangaa eti amewezaje kukodi pale na watu walikuwa wachache si kweli na ukumbi ni juu chini watu wengi walijazana juu sasa iyo picha mnayoonyesha eti viti vitupu sijawaelewa ina mana watu wasiende hata msalani?halafu jamani acheni ubishi elfu 50 mlikuwa nazo za kuingilia acheni walioenda ndo wanaujua ukweli na pia clouds walishasema mapema kwamba mwisho watu 400 wawe walifika au nusu yake nadhani haitatusaidia sana.msalimieni bi mkora!
duuh.. nasikia et wanafunzi wa ifm walipewa ofa ya kuingia ili kuongeza mashabiki... napita tu jaman sina ushahidi.
nawasilisha....
Sikuwa na nia ya kuchangia post yako lakini anabidi niseme kitu.kuna picha humu ndani ndugu yangu.inaonyesha ukumbi ulikuwa ni chini na juu na kote watu walijaa.iyo picha imeposiwa na member kwenye hii thread.Halafu ndugu yangu ni kwamba ilikuwa burdani ya wastaarabu wavaa suti,sasa vituko na mayowe ulitaka yawe ya nini kwani pale mpirani.lazima ifike mahali tuwe wastaarabu halafu unavyosema haikufana si kweli,acheni wivu na huyo bibi yenu.
Mtu yoyote anayejua haki zake na akiwa na ujasiri wa kutosha yuko tayari kuzipigania haki zake popote pale.Sasa kama Jide ana utajiri wa kutosha, ana ushawishi wa kutosha, na kama yeye ni mwanamuziki bora wa kike mwaka huu, manung'uniko yake dhidi ya Clouds ni yapi hasa?