Nani kama mama?

Nani kama mama?

sina mbona umeniuliza hivyo mkuu!!!!!!

Ndo maana umeweza kutoa mawazo yako vile, siku ukipata mtoto wako ukakaa nae miezo mitatu tu wakati mkeo akihangaika utajua nani kama mama... na nakushaurI ingia labor ward wakati anajifungua utajifunza mengi
 
unataka kuniambia mtoto akiwa anaumwa au hajalala usiku baba huwa anamkata makofi mtoto au!!!!!
 
Teheeee uwii mbavu zangu mie. Don't over analyse it bwana huo ni wimbo kama sikosei mtoa mada kau quote. Kuna point baba huwa anachemsha anakomaa mama tu (from my little experience). Sio kwamba wababa wabaya hapana ila nanI kama mama...
 
Back
Top Bottom