Nani kama mama?

Mama is the best person Mungu alitujaalia, nampenda sana MAMA angu pamoja na kina MAMA wote wenye kila sifa za kuitwa Mama
 
picha hii inanikumbusha mwaka jana maana huyu anaonekana ndiyo kamaliza kuzaa tuu hapo anamsafisha mwanae, nimevuta hisi nilipo maliza kujifungua nikaonyeshwa vitoto vyangu sikuwa na nguvu lakini nakumbuka nilivibeba huku machozi yakinitoka, kiuweli hakuna kama mama dunia hii
 

Mashallah, twins wako Mungu akuekee
 
  • :baby:
    • :baby:
      • :baby:
        • :baby:
          • :baby:
          • :baby:








 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…