Nani kama mama


Mmh....mie nilishindwa. Once daktari akaniambia, kama unashindwa tanguliza handkerchief.....wapiii....nikaishia kucheza na hicho kitambaa chenyewe na hamna hata tone la mafua lililotoka. Kwa kweli, acheni wamama waitwe mama, khaa....Tukafika mahali tunabishana na Mr, yeye anasema mbona nasikia wanawake wenzio wanavuta, vuta basi. Mie namwambia mwanamke si ni state tu, kama lengo ni kuvuta kwa nini wewe usivute? Anabaki anambwela mbwela tu...
 
Mimi pia nilimaanisha hivyo hivyo mbona?
 
Duh! Anamfanya nini mtoto, sio kila jambo mnaona ni jema

mkuu yawezekana kwa wakati na mazingira hakukua na alternative isipokuwa kuvuta tuu. ujuzi na ubunifu wa mama zetu wakati mwingine ni wa upendo ulio pitiliza
 



jamni pia naona wanadigitali hawako nyuma. hata kwa wamama wakisasa wenye vinyaa zaidi ya walio walea, mzungu alikwisha umiza kichwa kwa ajili yao. hapa unanyonya mak*m**asi ya mtoto bila direct contact.
 
Hiyo ya kupigabbomba kwa mdomo? Si unampeleka hospitali? Na mafuabkuna suckers jamani tuache ujima.
 
Mkuu MSEZA MKULU umenifanya nitoe chozi.

R.I.P Mama yangu Mzazi na Kipenzi, Esther.

Mama ulinihadithia jinsi ulivyohangaika nami.
Ukikesha Macho Miezi 8 wakati nimelazwa Hospitali ili tu uokoe roho yangu.
Nakupenda sana mama yangu, nakuombea kwa Mungu Akulaze Mahala Pema Peponi.


CC: My Dada Kijino.

a song for mama boyz ii men - YouTube
 
Last edited by a moderator:

pole jamani. tumwachie mwenyezi. try to remember her by practically doing all what she taught u. poule
 
Hawa wa siku izi hawataki chuchu ziwe ndala, hawanyoshesha mabuzi yao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…