Nani kama mama

Nani kama mama

Kama mtoto hapati choo lazima ufanye njia tofauti ili aweze kupata choo......na wakati mwingine kama anamafua unamfyonza kwa mdomo ili aweze kupumua..........HAKUNA KAMA MAMA AISEE.

nawashangaa wanaohoji mama kunyonya pull ya mtoto..

wao tabia zao wanataka kunyonya mahawara zao, animbie yyt anaemnyonya hata mumewe au mkewe?

mama alikunyonya wewe! wewe eti unaenda kumyonya hawara, malaya lol tena unavyonya unapitisha ulimi wote.

Hawara akilia uroda wewe ndio unazidisha kunyoka kama ndama akinyonya mazima kwenye ng'ombe
 
yeeeeeeeeeeee...hapo umenigusa sana mkuu!!! sidhani kama hao mimba zilipangwa!!!! ndo zile zinazoitwa za "bahati mbaya" wakati wa kufanya sijui walitegemea nini..........

Lakini bado wana hadhi ya umama au vp?
 
Wanawake wa Dijitali hawawezi hiyo, wao wanajua kuchana mashairi kwenye maiki za watoto wakubwa tu.

sio wote weweeeeee........ukiwa maza everything changes!!!

Tunakutana na wangapi mitaani hata kumshika mtoto mkono hataki atampunguzia soko, utakuta yeye anatangulia mbele katoto kako nyuma matokeo yake wanakoswakoswa na magari.

Kibaya zaidi mtoto akikoswa koswa kugongwa mama anamshushia matusi mwanaye eti mtoto gani mzembe nitakubutua mimi.

yeeeeeeeeeeee...hapo umenigusa sana mkuu!!! sidhani kama hao mimba zilipangwa!!!! ndo zile zinazoitwa za "bahati mbaya" wakati wa kufanya sijui walitegemea nini..........

Lakini bado wana hadhi ya umama au vp?

ndio........ni wamama!!! nathubutu kusema kuwa malezi pengine ndivyo nao walivyolelewa!
Kwa kuwa kauli yako ya mwisho imekinzana na kauli yako ya awali kabisa (Tazama maandishi yenye rangi ya blue), je upo tayari kuikanusha mbele ya Bunge hili tukufu?
 
tatizo nini?? mbona akina dada wananyonywa tiGo na wanakatikia mazee??

Huyo mama kwenye picha ni mfano wa vitu gani mama zetu wanapitia kuhakikisha tunafika hapa tulipo... hakuna kama mama
je,unanyonya tigo na kuikatikia?
 
Kwa kuwa kauli yako ya mwisho imekinzana na kauli yako ya awali kabisa (Tazama maandishi yenye rangi ya blue), je upo tayari kuikanusha mbele ya Bunge hili tukufu?

well, mkuu wala sikanushi!!!
ninachoweza ni kujustify, kwamba kuna wadada wa kidijitali as unavyodai (labda tungeanzia kudefine who and what are they) ambao kweli kuhandle watoto ni issue ngumu kwao. Some women can bear children but can never be mothers!!!
Ila wengine wanabadilika, usista doo unawekwa kando, and they assume roles za umama vizuri kabisa!!!

Naomba kuwasilisha mkuu!!!
 
Mrembo wangu sasa naomba kuungana na wewe, ni kweli kuwa wengi tuna vizazi lakini wazazi ni wachache.
 
mama ur the QUEEN of ma heart, yaan kuna ile kunyonya kamasi chachaaa

Njia mbadala ni kuchemsha maji ya moto na kujifukiza (bila kutia chochote) pamoja na mtoto, yanatoka yenyewe......

Hii ya kunyonya, nilishakiri kushindwa.....
 
Mrembo wangu sasa naomba kuungana na wewe, ni kweli kuwa wengi tuna vizazi lakini wazazi ni wachache.

oooh jamani nampenda mama yangu Bi Mboza! mara zote huniambia mwanangu mama yako ndio rafiki yako wa ukweli, hata uwe umefanya jambo gani baya njoo uniambie mwanangu!!! mhhhh....mama anaenda na wewe popote - kwenye raha kwenye karaha!!! wabarikiwe wamama wote wanaojitambua!!!
 
Njia mbadala ni kuchemsha maji ya moto na kujifukiza (bila kutia chochote) pamoja na mtoto, yanatoka yenyewe......

Hii ya kunyonya, nilishakiri kushindwa.....

this is the best! kunyonya unaweza kukosea mtoto akapata madhara zaidi!!!
 
oooh jamani nampenda mama yangu Bi Mboza! mara zote huniambia mwanangu mama yako ndio rafiki yako wa ukweli, hata uwe umefanya jambo gani baya njoo uniambie mwanangu!!! mhhhh....mama anaenda na wewe popote - kwenye raha kwenye karaha!!! wabarikiwe wamama wote wanaojitambua!!!
Basi mama yako kweli alikuwa anakupenda maana kama alikuwa anaenda na wewe sehemu zote basi atakuwa najua vingi. LOL...
 
kiswahili kigumu..........sikumaanisha kwenda yani mnaongozana.....hapana...ila unapokuwa matatizoni mama is always there to give a helping hand hata mawazo tu, faraja etc, na pia unapokuwa na raha mama anafurahia pamoja nawe!!!

( i should go back and study utungaji, shouldnt i?!?!? lol!!!)
 
Inakuwaje kwa mtoto mchanga ufanye hivyo halafu kwa mumeo usubiri ushauri wa daktari..
mume kuna njia nyingi siyo mpaka kumfanyia kama mtoto ndo mana ikishindikana ntafwata ushauri wa daktari atasemaje.........kama the only solution ni kufanya hivyo.
 
Njia mbadala ni kuchemsha maji ya moto na kujifukiza (bila kutia chochote) pamoja na mtoto, yanatoka yenyewe......

Hii ya kunyonya, nilishakiri kushindwa.....

sasa unakuta umembeba mtoto ghafla anabanwa kamasi au anapiga chafya linatokeza sasa unafikiri hayo maji moto utafukiza saa ngap best, mtoto si atashindwa kupumua? cha muhimu ni kuweka pua mdomoni na kufyonza zoez la kufukiza labda ndo lifuate ili kuyatokomeza.
NB: kumfukiza mtoto si vizuri kwani ufukizaji hautibu bali unarudisha ugonjwa au tatizo, yaan halijitokezi hata ukiwa na malaria ukifukiza utakua unairudisha sasa siku ikilipukaaaa ni drip tu..
 
Ukiwa umebeba mgongoni si yatakuwa yale ya mara moja tu jamani ambayo hata kufutwa yatafutwa tu? Ngoma wakati analala, moja haikai mbili inagoma. Nakubaliana nawe kuwa kufukiza si tiba, ni mbadala tu wa kunyonya, coz sio tiba, bali huyatoa ili mtoto aweze kupumua, sio alternative ya dawa.
 
ni kweli Dina kuyatoa ni kumpa ahueni mtoto yaan first aid,.siku hizi nani hata atayavuta kwa mdomo? watu huona kinyaa,. mwenzio nilishamlea mtoto wa dada yangu sijamzaa mimi but nlikua nayavuta acha tu,.siku hizi cotton buds ndo watoto hutumbukiziwa puani mh...
 
Back
Top Bottom