simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Hata sisi hatujui Mkuu.Huyo ni mama yake au bibi yake
Wakishiba, nani kama mama? Wakiwa na njaa, baba hajaacha hela ya mboga. Wababa tumekubali yote..View attachment 1953322
Wanaume wanatafuta ili mpate nguvu ya kuhoji nani kama Mama.
Pendeni wazazi wenu wote ktk hali ya usawa.
Dogo angeloa kwasababu ya kimo chake, mwamvuli ingebidi ushikwe na Bi MkubwaKwa ukubwa wa mwamvuli wangeweza kuutumia wote wawili.
🤣🤣🤣😊Baba ndie alienunua mwamvuli.
Umenena vema Mkuu.Hakuna kama mama (kwa wanawake)
Hakuna kama baba kwa wanaume.
Baba ndiye mwanaume bora na mama ndiye mwanamke bora duniani.