Nani kama Mama Vs Nani kama Baba

Mama yangu ndo kila kitu alinisomesha kwa shida enzi hizo baba anakula ujana nimeshamsamehe Ila nae alinifanya kusoma kwa uchungu hadi kufika hapa nilipo!!
 

Ni kama umeongea kilichomo moyon mwangu nina mapenz makubwa na baba yangu lakn nampenda mama yangu
 
Mama is everything guys hakuna wa kumpiku....hata iweje mama atabaki kuwa mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…