K kagina123 Member Jan 10, 2014 58 36 Dec 3, 2014 #1 Kila mtu anajua kuna mapambano katika kila jambo ila msingi ni msimamo wa ukweli hata kama ukitishwa.
Kila mtu anajua kuna mapambano katika kila jambo ila msingi ni msimamo wa ukweli hata kama ukitishwa.
W wakimataifa JF-Expert Member Nov 16, 2014 942 167 Dec 3, 2014 #3 kama hakuna mtu zaidi yake atutafutie aliekopa NBC akachoma ushahidi na bank ikafirisika
B Bawafe Senior Member Dec 1, 2014 167 76 Dec 3, 2014 #4 Ameprove yeye si tumbili, ila wao ndio ngedele!
T thatha JF-Expert Member Apr 29, 2011 15,340 1,566 Dec 3, 2014 #5 MENGI kawajaza sifa za kijinga sana
T thatha JF-Expert Member Apr 29, 2011 15,340 1,566 Dec 3, 2014 #6 wakimataifa said: kama hakuna mtu zaidi yake atutafutie aliekopa NBC akachoma ushahidi na bank ikafirisika Click to expand... REGINALD MENGI angekuwa na maslahi huko angewatumia tu
wakimataifa said: kama hakuna mtu zaidi yake atutafutie aliekopa NBC akachoma ushahidi na bank ikafirisika Click to expand... REGINALD MENGI angekuwa na maslahi huko angewatumia tu
Mtama kwa watoto JF-Expert Member Mar 31, 2014 394 150 Dec 3, 2014 #7 Hapo ndio yuko tayari Kwa lolote au?
Maundumula JF-Expert Member Nov 4, 2010 7,553 3,070 Dec 5, 2014 #11 Kafulila na Zitto walishanunuliwa zamani wanna report kwa Mkono.