englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Si mara zote kuna yule aliye lupango kwa kuwalawiti wanae wawili wa kiume mmoja akiwa na umri wa miezi 14 tuu
Kuna yule aliye wachinja wanae kisa mke wake amechepuka.
Kuna yule amegoma kulipa ada bila sababu yoyote
Kuna yule nyumbani kakausha huduma kisa kimada
Ila yupo aliyekubali kupigwa risasi badala ya mwanae, yupo aliyekubali alale njaa ili mwanae ale
Unafiki na kujipendekeza kwa wanaume tu.Inatakiwa uanze kwanza kumbeba tumboni ndiyo mengine kama haya ya kwenye mvua yafuate!(mimi niyetoa komenti hii ni mwanaume)
Mwisho wa yote ni roho ya mtu ndio iliyobeba siri kubwa
Amen Amen. Nampenda baba yangu kama mama( RIP) yangu. Wachache wanaoharibu taswira za kina baba! Aidha mengine ni mgawanyiko wa majukumu!Pole Syria.... Mzazi ni mzazi !!!
Peace be upon them..Amen Amen. Nampenda baba yangu kama mama( RIP) yangu. Wachache wanaoharibu taswira za kina baba! Aidha mengine ni mgawanyiko wa majukumu!
Hata wanawake wapo; Kuna yule aliyemkatakata na kisu sehemu za siri mwanae baada ya kupoteza sh 1,000.Kuna yule aliye wachinja wanae kisa mke wake amechepuka.
Kuna yule amegoma kulipa ada bila sababu yoyote
Kuna yule nyumbani kakausha huduma kisa kimada
Ila yupo aliyekubali kupigwa risasi badala ya mwanae, yupo aliyekubali alale njaa ili mwanae ale