Wambandwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 2,249
- 830
Habari Zenu, Leo Jumapili, Imechezwa Sinema Nzuri Sana, Kimetokea Kifo Cha Mtikila Kwa Ajali Ya Sintofahamu, Lakin Kupunguza Attention Ya Watu Katika Uchunguz Uo, Akaibuka Mzee Kingunge Na Kuita Waandish Wa Habari Kuwa Ana Ya Kuzungumza Juu Ya Siasa, Nauliza Maswali Manne,
1. Nani Kamlipia Muda Wa Kuwa Hewan? Wa Kuitisha Waandish Wa Habari?
2. Je, Wazir Mkuu Alokuwa Amemmilikisha Pale Ubungo Kwa Kumpendelea Mnamkumbuka? Mpaka Anapewa NPS??
3. Je. kwanin ajali ya mtikila itokee wakati ametangaza kuweka kipingamiz kwa mgombea?
4. Kwanin iwe siku ya kifo cha mtikila ndo tamko la siasa litolewe na kingunge? Au alikuwa ameshaahidi kabla kuwa leo ataita kikao?
Nauliza tu haya ni maswali simple yalobeba uzito mkubwa,
PLZ MWENYE KUELEWA ATUELEWESHE JUU YA ILI MAANA WENGNE HATUNA UELEWA SANA KWENYE KU CONNECT DOTS,
DR.RWEYENDERA okashala batelura!