Nani kalipia muda wa maongezi wa Kingunge N. Mwiru?

Habari Zenu, Leo Jumapili, Imechezwa Sinema Nzuri Sana, Kimetokea Kifo Cha Mtikila Kwa Ajali Ya Sintofahamu, Lakin Kupunguza Attention Ya Watu Katika Uchunguz Uo, Akaibuka Mzee Kingunge Na Kuita Waandish Wa Habari Kuwa Ana Ya Kuzungumza Juu Ya Siasa, Nauliza Maswali Manne,

1. Nani Kamlipia Muda Wa Kuwa Hewan? Wa Kuitisha Waandish Wa Habari?
2. Je, Wazir Mkuu Alokuwa Amemmilikisha Pale Ubungo Kwa Kumpendelea Mnamkumbuka? Mpaka Anapewa NPS??
3. Je. kwanin ajali ya mtikila itokee wakati ametangaza kuweka kipingamiz kwa mgombea?
4. Kwanin iwe siku ya kifo cha mtikila ndo tamko la siasa litolewe na kingunge? Au alikuwa ameshaahidi kabla kuwa leo ataita kikao?

Nauliza tu haya ni maswali simple yalobeba uzito mkubwa,
PLZ MWENYE KUELEWA ATUELEWESHE JUU YA ILI MAANA WENGNE HATUNA UELEWA SANA KWENYE KU CONNECT DOTS,

Unanilazimisha nikuite dubu la ardhi, hivi hata taarifa zote za habari hukuzisikiliza wala kuona ajali yenyewe kwenye vyombo vya habari! Kwa hiyo unataka kuleta sasa hisia zako za kishirikina hapa. Abiria mwenzie kaeleza kabisa juu ya speed ya dreva wao na pia kosa la abiria kutokufunga mkanda na kilichotokea, bado unatafuta mchawi! Duh
 
Ni kawaida pote duniani kwa wamiliki wa vyombo vya habari kuwaive gharama za matangazo iwapo yana maslahi mapana kwa walengwa. ITV kama kituo kisichoegemea upande ktk siasa za tanzania nahisi wametekeleza wajibu huo. Star TV wao ni matangazo ya ccm 24x7 lzm tuheshimu msimamo wao. Hoja hapa ni kuwa kujiuzuru kwa kingunge ni tukio la kihistoria lenye funzo kwa maendeleo ya kisiasa tanzania.
 
Kwenye suala la kulipia matangazo wewe ni MPUMBAVU!Mjinga tu haitoshi maana umeuliza swali la kipumbavu sana.
Mzee Kingunge unataka kumfananisha na Slaa tuliyehoji nani alimlipia muda wa matangazo?
Kingunge na ukongwe wake,tena kashika nyadhifa mbalimbali na kubwa ndani ya chama dola ni wa kuhojiwa kapata wapi pesa?
Angalieni maswali ya kuuliza jamani,sio unakuja na maswali yako unatuachia wengine maswali na kukushangaa juu.

About nifah
Biography:
Confident, wise, smart & good listener.
Location:
Dar es salaam
Interests:
Praying, reading Quran
Occupation:
Jobless
Gender:
Female
 
Hivi kuitisha mkutano na waandishi wa habari nako kuna gharama za kifedha?
Maajabu! Yaani hii elimu ya kizazi cha sasa haikuwapa wanafunzi nafasi ya kujenga uwezo wa kufikiri....hata mambo ya kawaida tu.

1) Huyo kaita waandishi nyumbani kwake, gharama ni chai/maji/karanga na vitu km hivyo.

2) Media hutaka/hutafuta habari (preferably ikiwa ya moto) so ukiwaita watakuja endapo kama wanaona una hadhi fulani + huenda habari yako ikawa na value kwao (unauzika)..... hivyo sio lazima wapewe bahasha za kaki (Pasco).

3) Kwani waandishi wanapoenda kufuatilia/kuripoti matukio mfano moto, ajali nk huwa inakuwaje?

Labda mleta mada angehoji gharama iwapo kama Kingunge akikwenda kwenye ukumbi, hoteli nk.

Rushwa imekidhiri na kuwa sehemu ya maisha ya Watanzania kiasi kwamba kila jambo lazima linatazamwa kwa miwani hiyo hiyo. Nasema haya kwa hili la Kingunge na kwa mengine mengi yaliyopita.
 
Ni kawaida pote duniani kwa wamiliki wa vyombo vya habari kuwaive gharama za matangazo iwapo yana maslahi mapana kwa walengwa. ITV kama kituo kisichoegemea upande ktk siasa za tanzania nahisi wametekeleza wajibu huo. Star TV wao ni matangazo ya ccm 24x7 lzm tuheshimu msimamo wao. Hoja hapa ni kuwa kujiuzuru kwa kingunge ni tukio la kihistoria lenye funzo kwa maendeleo ya kisiasa tanzania.

Hili ndio jibu alitakiwa kupewa mleta mada na wale wenzake ambao huwa wanafikiri negatively. Sio kila habari lazima ilipiwe, kwani ule ujio wa Obama kuonyeshwa live kuna mtu aliwalipa au wenyewe walitafuta hiyo fursa? Unadhani kuwe na tukio kubwa wenzako wanalionyesha wewe unapiga taarabu kuna mtu ataangalia kituo chako?
 
Mwaka wa nyumbu kula tope, wewe mama, mume wako ana taabu sana kwa nini wachaga ni wakabila sana nenda kila sector ukikuta mchaga ni bosi basi wa chini yake wote ni kasikazini, mkipewa nchi si itakuwa balaa

Hoja yako offpoint
 
Habari Zenu, Leo Jumapili, Imechezwa Sinema Nzuri Sana, Kimetokea Kifo Cha Mtikila Kwa Ajali Ya Sintofahamu, Lakin Kupunguza Attention Ya Watu Katika Uchunguz Uo, Akaibuka Mzee Kingunge Na Kuita Waandish Wa Habari Kuwa Ana Ya Kuzungumza Juu Ya Siasa, Nauliza Maswali Manne,

1. Nani Kamlipia Muda Wa Kuwa Hewan? Wa Kuitisha Waandish Wa Habari?
2. Je, Wazir Mkuu Alokuwa Amemmilikisha Pale Ubungo Kwa Kumpendelea Mnamkumbuka? Mpaka Anapewa NPS??
3. Je. kwanin ajali ya mtikila itokee wakati ametangaza kuweka kipingamiz kwa mgombea?
4. Kwanin iwe siku ya kifo cha mtikila ndo tamko la siasa litolewe na kingunge? Au alikuwa ameshaahidi kabla kuwa leo ataita kikao?

Nauliza tu haya ni maswali simple yalobeba uzito mkubwa,
PLZ MWENYE KUELEWA ATUELEWESHE JUU YA ILI MAANA WENGNE HATUNA UELEWA SANA KWENYE KU CONNECT DOTS,

Tunajua sinema zinazochezwa wanazani haujui,lowasa karipia,kwani kuna mwingine
 
Hili ndio jibu alitakiwa kupewa mleta mada na wale wenzake ambao huwa wanafikiri negatively. Sio kila habari lazima ilipiwe, kwani ule ujio wa Obama kuonyeshwa live kuna mtu aliwalipa au wenyewe walitafuta hiyo fursa? Unadhani kuwe na tukio kubwa wenzako wanalionyesha wewe unapiga taarabu kuna mtu ataangalia kituo chako?

ITV masilahi maana yapi? Labda ya kasikazini,
 
Habari Zenu, Leo Jumapili, Imechezwa Sinema Nzuri Sana, Kimetokea Kifo Cha Mtikila Kwa Ajali Ya Sintofahamu, Lakin Kupunguza Attention Ya Watu Katika Uchunguz Uo, Akaibuka Mzee Kingunge Na Kuita Waandish Wa Habari Kuwa Ana Ya Kuzungumza Juu Ya Siasa, Nauliza Maswali Manne,

1. Nani Kamlipia Muda Wa Kuwa Hewan? Wa Kuitisha Waandish Wa Habari?
2. Je, Wazir Mkuu Alokuwa Amemmilikisha Pale Ubungo Kwa Kumpendelea Mnamkumbuka? Mpaka Anapewa NPS??
3. Je. kwanin ajali ya mtikila itokee wakati ametangaza kuweka kipingamiz kwa mgombea?
4. Kwanin iwe siku ya kifo cha mtikila ndo tamko la siasa litolewe na kingunge? Au alikuwa ameshaahidi kabla kuwa leo ataita kikao?

Nauliza tu haya ni maswali simple yalobeba uzito mkubwa,
PLZ MWENYE KUELEWA ATUELEWESHE JUU YA ILI MAANA WENGNE HATUNA UELEWA SANA KWENYE KU CONNECT DOTS,

Yaonekana moyoni mwako kuna jambo unalotaka kulisema. LISEME
 
kama ulivyoyaita maswali yako simple labda na Mimi nikuuli maswali complex...

Siku anatangaza Lowassa kuja cdm nani alikufa?
siku anakufa kombani nani alitangaza kujitoa ccm?
Siku Gwajima anaitisha press conference nani alilipia?
 
Habari Zenu, Leo Jumapili, Imechezwa Sinema Nzuri Sana, Kimetokea Kifo Cha Mtikila Kwa Ajali Ya Sintofahamu, Lakin Kupunguza Attention Ya Watu Katika Uchunguz Uo, Akaibuka Mzee Kingunge Na Kuita Waandish Wa Habari Kuwa Ana Ya Kuzungumza Juu Ya Siasa, Nauliza Maswali Manne,

1. Nani Kamlipia Muda Wa Kuwa Hewan? Wa Kuitisha Waandish Wa Habari?
2. Je, Wazir Mkuu Alokuwa Amemmilikisha Pale Ubungo Kwa Kumpendelea Mnamkumbuka? Mpaka Anapewa NPS??
3. Je. kwanin ajali ya mtikila itokee wakati ametangaza kuweka kipingamiz kwa mgombea?
4. Kwanin iwe siku ya kifo cha mtikila ndo tamko la siasa litolewe na kingunge? Au alikuwa ameshaahidi kabla kuwa leo ataita kikao?

Nauliza tu haya ni maswali simple yalobeba uzito mkubwa,
PLZ MWENYE KUELEWA ATUELEWESHE JUU YA ILI MAANA WENGNE HATUNA UELEWA SANA KWENYE KU CONNECT DOTS,

Hakuna msiba usiokuwa na sababu. Hata leo hii wewe ukipass away kwa Malaria watasema ulitembea na wagonjwa wako wakakuambukiza vingine. So uko sahihi. Kama sisi wanywa kalandarugo tukifa hata kama ni typhoid watasema waliwekewa sumu kwenye Nkonyagi au mme wa mama muuza alikuwa ananiangalia vibaya kwa kuhisi kuwa namchukua mkewe. this is Africa.
 
Back
Top Bottom