Nani kalipia muda wa maongezi wa Kingunge N. Mwiru?

Kazi ya waandishi wa habari ni kutafuta habari.

Ukiwapigia simu uwaambie kuna tukio lililo newsworthy mahali fulani basi ni jukumu lao kwenda na kui cover hiyo habari.

Huwalipi wao kuja ku cover habari. Wanalipwa na mwajiri wao.
Kwann kwa dk slaa mlihoji
 
Kwenye suala la kulipia matangazo wewe ni ********!Mjinga tu haitoshi maana umeuliza swali la kipumbavu sana.
Mzee Kingunge unataka kumfananisha na Slaa tuliyehoji nani alimlipia muda wa matangazo?
Kingunge na ukongwe wake,tena kashika nyadhifa mbalimbali na kubwa ndani ya chama dola ni wa kuhojiwa kapata wapi pesa?
Angalieni maswali ya kuuliza jamani,sio unakuja na maswali yako unatuachia wengine maswali na kukushangaa juu.
We utakuwa hujaolewa
 
Ok
 
Back
Top Bottom