Nani Kakukera Zaidi 2015

Nani Kakukera Zaidi 2015

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Nani kakukera zaidi this year 2015?

1. Your parents
2. Attendance book
3. Vodacom
4. Tigo
5. Airtel
5. Landlord
6. Bus conductor
7. Startimes
8. Your boss @ work
9. Husband
10. Wife
11. Boy friend
12. Girl friend
13. Jose Mourinho
14. Hazard
15. Van Gal
16. Chelsea
17. Man united
18. Magufuli
19. Lubuva na Tume
20. Admin Wa JF
21.Edward. Lowasa
22. Jecha
23.Your phone
24.Mchepuko
25.whatsapp
26. Kikwete
27. TCRA
28. Wema Sepetu
29. Zari
30. Diamond
31. Kiba

Mi 19
 
waweke tanesco hapo walinifanya nikute mayai niliyoyaweka kwenye friji yamekuwa vifaranga hadi nikajiuliza hii friji imekuwa incubator kumbe tanesco wamefanya yao tangu wiki kadhaa past
 
5.Airtel Tanzania
Ndugu wadau jana 31/12/2015 Nimefika makao makuu ya Airtel kulipia huduma ya Bulk sms kwa ajili ya kuwatakia watu wangu wa TARIME VJIJINI HERI YA MWAKA MPYA.....Nikafanya utaratibu wote na kumaliza na kuondoka ofisini mwao ilipofika saa 6 usiku ili niweze kufanya kazi ya kutuma bulk sms ndoo shughuli nafanya kila kitu ila mwishoni salio halipungui na sms haziendi kwa watu......Asubh ya leo nikarudi wahusika wote hawapo kila ninaye mwomba nsaada ananijibu et hafi juma 3.........na nimelipia kwa ajili ya Siku ya leo....nikatuma helpdesk email mpk muda huu hakuna msaada wowote na kimya#Napigiwa simu na eti subiri kuna mtu anakuja kukusaidia ila holaaaa jamani ndo huduma ...nimekaaa Hq morroco hadi saa 9 bila msaada wowote....#
 

Attachments

  • 1451654800771.jpg
    1451654800771.jpg
    40.1 KB · Views: 53
Nani kakukera zaidi this year 2015?

1. Your parents
2. Attendance book
3. Vodacom
4. Tigo
5. Airtel
5. Landlord
6. Bus conductor
7. Startimes
8. Your boss @ work
9. Husband
10. Wife
11. Boy friend
12. Girl friend
13. Jose Mourinho
14. Hazard
15. Van Gal
16. Chelsea
17. Man united
18. Magufuli
19. Lubuva na Tume
20. Admin Wa JF
21.Edward. Lowasa
22. Jecha
23.Your phone
24.Mchepuko
25.whatsapp
26. Kikwete
27. TCRA
28. Wema Sepetu
29. Zari
30. Diamond
31. Kiba

Mi 19
 
13, amewahi mno kujiuzulu. Angekomaa kama mwenzake Lu
 
4, 19 na 26 bila kusahau TBC na TANESCO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom