Nani Kai-design Keyboard ya Kompyuta.

Nani Kai-design Keyboard ya Kompyuta.

ivibration

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
363
Reaction score
73
Bila shaka tunatumia Keyboards kwa laptops, desktops na pia vilevile virtual keyboards kwa touch devices.Have you ever wondered as to who came up with the universal arrangements and sequence of the letters of alphabet (QWERTY...) and what crteria did they use. Why is it not ABCD...sequence?
 
Kwanza sio Keyboards zote ni QWERTY,

Pili keyboard za Computer ni muendelezo wa Keyboards zilizokuwepo zamani kwenye "Taipureta"

Tatu Keyboards zinategemea na lugha husika kwamba herufi zinazotumika zaidi zinakuwa positioned kwenye eneo ambalo liko raisi kufikika na vidole

baadhi ya aina za keyboards ambazo zinatumika kwenye Anglophone na Francophone ni hizi
QWERTY, AZERTY nd QWERTZ

pia Keyboard ya ABCD... ipo ingawa sio maarufu sana
 
Christopher Latham
Sholes was a U.S.
mechanical engineer
who invented the
QWERTY keyboard in
1873.

.
Kwa kawaida keybord nying zingekuwa katika mfumo Wa ABCDE
ingekuwa ni kaz sana kufanya typing kwa kuwa tungezunguka sana kutafuta herufi ili kuunda neno kwanza raw moja ya herufi zilizo sequence inatoa maneno machache sana tofauti sana qwerty na pia arrangement ya herufi inategemeana na Lugha yenyenyewe kwa mfano qwerty keybord zinawapa urahs zaid wanaotumia left hand, kwakuwa typing letter nying zipo kushoto
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka tunatumia Keyboards kwa laptops, desktops na pia vilevile virtual keyboards kwa touch devices.Have you ever wondered as to who came up with the universal arrangements and sequence of the letters of alphabet (QWERTY...) and what crteria did they use. Why is it not ABCD...sequence?

Siku ya kwanza nakutana na keyboard ambayo siyo QWERTY nilishangaa kidogo manake ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza. ilikuwa ni ASUS flani hivi ya Germany
 
Hili swali nimekaa nalo sana moyoni, nikawa naogopa kuliuliza.

Noja nisubiri majibu humu maana bado hakuna jibu la kutosheleza.
 
Back
Top Bottom