yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
hakunaga zaidi yangu mi na ww, hakunaga.......hahahahaha haka kawimbo kijana yule kajitahidi kukaimba.haya ngoja nirudi ktk mada hucka.kaka mi naomba utuambie wanaJF kwamba huyu mwanamke kwa mara ya kwanza kabisa ulikutana naye wapi.kuna mzee wangu mmoja alishawahi kunieleza kua mahala unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza mkaanzisha uhusiano inaashiria tabia zenu nyie wote.mfano km mlikutana baa inajulikana hapo what next.pili mi nadhani we unajua sana tabia za huyu bint kuliko cc ndio maana machale yakakucheza wakat ambao ulishaagwa kua analala wakat ukiwa ofisini ukaamua kwenda club na kwa bahat nzuri ulimkuta akijirusha na walatino.ila la mwisho n kwamba km wote ni wa club ni bora mkae muongee kabla ya kuchukua uamuz wa kumwacha coz kwa nyie watu wa club mademu wako ndio hao hao so utajikuta unaacha halafu unakuja kuangukia kwa mtu wa aina hyohyo.ila km we c wa club na umetulia na heshima zako basi PIGA CHINI.