uchambuzi mzuriWazazi wanajifanya kila mtu biz. Pamoja mtoto bado ni anahitaji msaada wao wa malezi..... Basi mchoraji anaonesha wakiendelea tu kidogo kuwa biz na kumneglet mtoto basi mtoto atatumbukia kwenye madawa. Coz atakosa uangalizi japo bado alikua anauhitaji
Funzo: wazazi tusijifanye kwamba tupo biz sana na kusahau tunawatoto, kwani wakishaharibika huo ubiz/ utafutaji hautafaa kitu tena
kutengana kwa wazazi kunapelekea mtoto kuingia kwenye matendo ya kiovu