Nani imewahi mkuta hivi?

Tunaruhusiwa ku comment hapa bila staha ?
 
Endelea kujichua best
 
Hivi jiwe akisoma thread yako unadhani atakuweka kwenye kundi gani kama sio kwenye kundi la wanaomnyanyasa kwa kutumia kingreza
 
Hakuna cha physiological problem wala nn hapa wewe ni utoto unakusumbua I guess unamiaka 22-25


Huyu mtoa mada akikua ataacha Ana mambo ya kitoto mtu kutwa anashinda akipost memes huyu hana hazi ya kumkeep busy
 
Ukija kwangu utapona mazima na utasahau yote yaliyopita
 
Ok ni sawa,hizo ni feelings za kuumizwa kwenye love.Sasa fanya hivi,vaa vizuri,toka out,jichanganye na watu wa aina mbalimbali,set criteria ya mtu umtakaye,the anza kumtafuta utampata wa kwako mwenye sifa soon
 
Ikifikia hatua unashindwa hata kuzikubali hisia zako mwenyewe, ni tatizo kubwa Sana! Tatizo la kisaikolojia litakusumbua kama hutojua kiini chake, ila ukijua kiini chake ni rahisi kulikabili! Umeishajua shida yako ni nini na chanzo chake ni kipi kwanini hutafuti ufumbuzi! Kama Kuna mtu unahisi umempenda na unajua anakupenda kaa nae chini mshirikishe shida yako
 

Hali kama hiyo huwa inatokea!mfano mimi niliwahi kumpiga chini Demu mmoja hivi bila sababu yeyote halafu nilikuwa bado nampenda matokeo yake ikawa kila nikitongoza demu mpya akikubali nampotezea akitaka aje ghetto najipa dharura ya gafla!hii inasababishwa na msongo wa mawazo na upweke kwa vile bado haujamsahau Ex wako
 
Mkuu haijalishi ni magumu mangapi umepitia/unapitia,, usiache kufanya mapenzi.


Utanishukuru baadae
 
Nipe Namba yako Mimi napenda kuview memes
 

(In Fisi's voice)
Huyo mwanaume aliekuacha ni mbwa kabisa, mjinga kabisa huyo blalifuu. Hivi wanaume wengine wakoje? Anawezaje kukufanyia mambo ya kipuuzi mtoto mzuri kama wewe? Yaani amenikasirisha huyo mi natamani ningekua namjua nimkate vibao. Jinga kabisa huyo. Mtoto mrembo kama wewe hustahili kabisa kufanyiwa mambo kama hayo mpaka unapata stress bila sababu. Kwa jinsi nilivyokasirika hebu leta namba yako tuone jinsi ya kufanya mi sijapenda kabisa huo ujinga uliofanyiwa. 😋
 
Kama kichwani ndio umejaza mikolokolo ya " u known me, within, but love ata si enjoy, I can't fell moment si una jua but, " utatom#bw*a na kuachika tu
Hata akiachika si kasikia raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…