Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Uzuri huwa yanaweka na ushahidi wa video kabisa.Namba ya gari hio tu tayari washadakwa
 
Hao ni wazee wa masifa huoni wanasema mapolisi wanadhania sie.Hapo si tayari wanafahamika.
Huyo dogo kapost ujumbe usiowafurahisha.
Ila kama ni Mimi lazima nizae na wewe huwezi nipiga kama nyoka ukabaki salama
 
Hivyo ndivyo ndugu zetu waliyoyapitia kabla ya kutupwa kwenye viroba baharini na legacy ya mwendakuzimu.
 
Ndo vyombo vyetu vya ulinzi vinavyofanya badala ya kumpekua kiundani kujua mtandao wake wao wanapiga kamba mbwa...
Bado safari ndefu ndo maana kesi zinagonga mwamba court
.Malezi yetu yanahimiza matumizi ya nguvu kuliko akili.
 
Hakuna askari mpumbavu akubali kurekodiwa akimsulubu muhalifu.Hata lugalo tu utawasimulia wenzako na sio kurekodiwa
 
unaongea tu asee we mwenyew unaona hapo anajitahidi kuondoka inashindikana af we ndo umng'ate sikio ndo unazid kuwapandisha hasira wakutoe kabisa na hizo kengere zako
Bora kufa kishujaa kama muraa wa Tarime aliyempoteza mmoja wa wasiojulikana waliotumwa kummaliza akawaahi wakaomba po.
 
Hao ni wazee wa masifa huoni wanasema mapolisi wanadhania sie.Hapo si tayari wanafahamika.
Huyo dogo kapost ujumbe usiowafurahisha.
Ila kama ni Mimi lazima nizae na wewe huwezi nipiga kama nyoka ukabaki salama
Kimeumanaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…