Ndie boss waoNaona kuna muarabu hapo sijui ndiyo boss na hao wachapaji ndiyo wanatafuta sifa kwake.
.Malezi yetu yanahimiza matumizi ya nguvu kuliko akili.Ndo vyombo vyetu vya ulinzi vinavyofanya badala ya kumpekua kiundani kujua mtandao wake wao wanapiga kamba mbwa...
Bado safari ndefu ndo maana kesi zinagonga mwamba court
Kaacha miziziKha!kha!,punguza hasira Mkuu.Tumwache Mzee wetu ajipumzikie.
Watakuwa wanakunywa chai na jamaaAzory Gwanda na Ben Sanane wako wapi?
Hakuna askari mpumbavu akubali kurekodiwa akimsulubu muhalifu.Hata lugalo tu utawasimulia wenzako na sio kurekodiwaJe ni utaratibu kumwadhibu mtu adharani na kutupia mitandaoni? Huoni kuwa ni kinyume Cha haki za binadamu? Najua watu wanapigwa Sana nataka nikwambie hapo kagu
Nani anatambua kuwa hao ni watu na kazi zao? Hii bado ni fikirishi either watafanya kazi kumridhisha mdosi au nao majizi tu maana tumerudi kwenye kutambiana kama enzi zile....'Unanijua Mimi ni nani' sidhani kama Askari aliyeiva atakubali kurekodiwa akitimiza majukumu yake ya kila siku ya muajiri wake. Naamini hao ni wahuni tu
Bora kufa kishujaa kama muraa wa Tarime aliyempoteza mmoja wa wasiojulikana waliotumwa kummaliza akawaahi wakaomba po.unaongea tu asee we mwenyew unaona hapo anajitahidi kuondoka inashindikana af we ndo umng'ate sikio ndo unazid kuwapandisha hasira wakutoe kabisa na hizo kengere zako
Ile mizizi ya kuzimu sio rahisi kuiondoaNaona mdogo mdogo tunarudi kule kule kwa enzi ya dhalim
Wanajulikana mbonaHakuna asiyejulikana hapo.
Nae ameshindwa hata kuondoka na sikio la mtuMtu mzima kupigwa hadharani namna hiyo ni kitendo kibaya sana
Kimeumanaaa 😂😂😂Hao ni wazee wa masifa huoni wanasema mapolisi wanadhania sie.Hapo si tayari wanafahamika.
Huyo dogo kapost ujumbe usiowafurahisha.
Ila kama ni Mimi lazima nizae na wewe huwezi nipiga kama nyoka ukabaki salama
Afu acha ukorofiHao ndio watu waliopo Tanzania. Roho mbaya, katili, wasiojali na kuthamini utu wa mtu.
Hiyo ndiyo legacy pekee aliyotuachia Mwendazake
Codes zako kuruti haziungi DotHueleweki dada
Hueleweki
Siyo wote wanauweza hivyo mkuuNae ameshindwa hata kuondoka na sikio la mtu