Grace Komba
Senior Member
- May 26, 2013
- 131
- 48
Duuh yani walimu wetu wanachanganywa na serikali mpaka inafikia wanachanganya ma-folders namna hii!Ni Kweli, Nimesha Wahi Kuona Interview Zake Mbili, Ya Kwanza alifanya Na Joyce Kiria Kwenye Kipindi Cha Wanawake Live, Na Ya Pili Alifanya Na Hoyce Temu, Kwenye Kipindi Cha Mimi Na Tanzania Cha Chanel Ten, Na Ni Kweli Alithibitisha Kuwa Alikuwa Mwalimu.... Kama Sikosei Ni Kigoma
Mkuu hapo kwenye bold ni kweli kabisa, hata mimi niliwahi kuukuta ubao mbele yao, sikuelewa matumizi yake. Kwa hiyo anaweza kufundisha watoto wake mwenyewe mpaka kifaransa! basi serikali imepoteza nguvu kazi ya ukweli.nimewahi soma habari yake the citizen ambayo iliandika habari zake kwa urefu.ni kweli alikuwa mwalimu,na watoto wake anawafundisha mwenyewe,wanajua kiingereza vizuri na kifaransa kiasi, pia binafsi nimewahi kukumkuta kaweka ubao mdogo ambao alikuwa akiwafundishia watoto wake
Acha lugha ya udhalilishaji.Hawa si vichaa ila wana ulemavu wa akili.
Kama ambavyo huwezi kumwita mlemavu wa macho kipofu
Mkuu kuna tetesi mitaa ya posta kwamba hata waheshimiwa wwakubwa kabisa nchii hii wanahisa pale. Na kuna wakati huwa magari mazito mazito huwa yanasimamishwa pale kutoa hela ya matumizi.Sisi wanaumme hatulingani akili na starehe hutofautiana....Ndiyo maana kuna wabakaji; kuna wapenda changu-doa...Na sasa naamini kuna wapenda VICHAA pia:embarrassed1:
Pengine analia kila akikumbuka yaliyompata mpaka kuwa katika hali ile. Hiyo wakati mwingine hutokea hata kwa mtu mzima wa akili.Nilishawahi kumsikia akihojiwa na ITV siku moja akasema alikuwa mwalimu ila I doubt kwani huwa hamalizii story ya maisha yake na kuishia kulia. Hapo ndio huwa nahakikisha kuwa ana ulemavu wa akili (UA)
Anaitwaje?Nat amanikuonahz oi nterview .Maskin iduniahii inam ambo.Ni Kweli, Nimesha Wahi Kuona Interview Zake Mbili, Ya Kwanza alifanya Na Joyce Kiria Kwenye Kipindi Cha Wanawake Live, Na Ya Pili Alifanya Na Hoyce Temu, Kwenye Kipindi Cha Mimi Na Tanzania Cha Chanel Ten, Na Ni Kweli Alithibitisha Kuwa Alikuwa Mwalimu.... Kama Sikosei Ni Kigoma
Au ametumia vibaya madaraka yakeNi kweli mkuu huyo anaitwa mwenye changamoto ya uoni.
Ni sawa na aliyeiibia serikali mabilioni haitwi mwizi bali anaitwa Mbadhirifu/Fisadi. Mwizi ni aliyeiba kuku tu. Haaaaahahahaaaaaaaa
Kuna kichaa mmoja alikuja bar huku kabeba katoto,,akaja kwenye meza yetu,,tulikuwa vidume 5,,akatuomba pesa,,mmoja wetu,,akaropoka kwa sauti ya ukali,,ebu toka hapa na kichaa chako,,yule kichaa alikasirika sana,,akamwambia yule jamaa,,wewe sindio huwa unanifata usiku na gari unanipeleka kunifanya,,tena mtoto wako huyu hapa na ninamuacha hapa juu ya meza,,watu tukaduwaa,,kweli yule mtoto alikuwa anafanana sana na huyu jamaa yetu,,ikabidi tumwambie jamaa aombe msamaa ili yule kichaaa aondoke na mtoto wake,,kweli alikubali akaondoka,,lakini siri ikawa imefichuka,,,ni wanaume wengi sana wana hizo tabia,,sikuamini kwakweli maana jamaa ni tozi balaa.
Mkuu hapo kwenye bold ni kweli kabisa, hata mimi niliwahi kuukuta ubao mbele yao, sikuelewa matumizi yake. Kwa hiyo anaweza kufundisha watoto wake mwenyewe mpaka kifaransa! basi serikali imepoteza nguvu kazi ya ukweli.
Je kwenye hiyo makala waliandika sababu ya kuwa katika hali ile?
ama kweli kila mwanamke ni mzuri mbele ya macho ya mwanaume.
Kicha cha downstairs ni noma, kikisimia mzizi wote mnajikuta mmekuwa vichaaBall dinda akri potea.