Kama yule mama mwenye watoto wengi pale chini ya nje ya uzio wa viwanja wa Gymkanah. Huwa najiuliza mpaka leo hivi anazaa na nani vile vitoto vidogo vidogo vingi namna ile.
Pleasure!
Kwa maana hiyo wanaume akili zao hazipo sawa. Mbona sijasikia mwanamke mwenye akili zake timamu amejipeleka kwa mwanamke kichaa?
Okay umejibu vyema, ingawaje hiyo si nia bali ni matokeo baada ya ngono...ila nilipenda zaidi ungelijibu neno kama "matamanio" au "tamaa ya kupata pleasure"...
Sasa kwa kuwa tunatambua kuwa kuwa matamanio ndio hupelekea mtu kutaka kushiriki ngono na mtu mwingine (awe amepewa ridhaa au hajapewa ridhaa)...
Basi hata hao wanaume wanaongonoka na wanawake vichaa nao huingiwa na mataminio na huwa rahisi zaidi kwani hukosa ukinzani ukilinganisha na mwanamke ambaye ana akili timamu.
Simba anapotaka kula nyama huwa hajiulizi kuwa swala fulani ana mtindio wa akili au hana pia huwa haangalii rangi ya swala wala pembe zake, bali huangalia ni swala gani dhaifu na kanona kwa ajili ya kitoweo.
Asante kwa maelezo ila bado sijaridhika nayo. Nadhani matamanio huja baada ya kuona kitu na kuvutiwa nacho na yote hayo yanatawaliwa na ubongo ambao tunaamini kwa mwanaume mwenye akili timamu ubongo wake uko sawa kabisa! Ivi kweli unaweza kumtamani mwanamke mchafu asijeoga wala kufua nguo zake na mwenye harufu? Unatamani nini hasa kwa kumtazama tu mtu wa aaina hiyo?
Kwa hiyo unataka kusema akili za simba, mbwa, punda na wanyama wenfine ni sawa na za binaadamu mwanaume au!!
Acha lugha ya udhalilishaji.Hawa si vichaa ila wana ulemavu wa akili.
Kama ambavyo huwezi kumwita mlemavu wa macho kipofu
nimewahi soma habari yake the citizen ambayo iliandika habari zake kwa urefu.ni kweli alikuwa mwalimu,na watoto wake anawafundisha mwenyewe,wanajua kiingereza vizuri na kifaransa kiasi, pia binafsi nimewahi kukumkuta kaweka ubao mdogo ambao alikuwa akiwafundishia watoto wakeNimesikia zamani alikuwa mwalimu, je ni kweli mkuu?
Habari wana MMU,
Nadhani mtakubaliana na mimi kwamba wanawake wasio na akili timamu wanaongoza katika suala zima la uzazi holela. Kuna wamama hapa mjini vichaa, yaani after 2 years ukimkuta hana kichanga basi ni bahati sana. Wengi wao wanazaa sana na nadhani sio kosa lao huenda wangekuwa na akili timamu wangeweza kujizuia.
Kinachonitatiza mimi, ivi nani huwapa ujauzito wanawake hawa? Ni vichaa wenzao wa jinsia ya kiume au ni wanaume wenye akili timamu? Kama ni vichaa wenzao wa kiume, kwa nini wakati mwingine unaweza kuta hapo mtaani hakuna chizi mwanaume lakini unamkuta chizi mwanamke ana mimba?? Hivi inawezekana kweli mwanaume mwenye akili timamu akafanya mapenzi na mwanamke kichaa?
Kuna siku tulijadili hili suala pamoja na wanaume watatu, mmoja akiwa mtu mzima na yule baba alidai kuwa eti kuna dakika fulani chache za uchizi kwa wanaume, na dakika hizo ndizo hupelekea kufikia hatua ya kufanya mapenzi na kichaa, je ni kweli?
Alitoa mfano kwamba ukimuweka mwanaume mwenye akili timamu na mwanamke kichaa sehemu 1 kwa muda wa masaa 24, uku yule mwanamke chizi akifanya vitendo vyake vya uchizi mbele ya uyo mwanaume mwenye akili timamu kuwa uwezekano mkubwa sana wa ngono kufanyika. Anadai kwamba mfanya icho kitendo kwa dakika hizo chache huwa hajielewi na fahamu humjia pale anapomaliza kile kitendo, je ni kweli?
Kwa maana hiyo wanaume akili zao hazipo sawa. Mbona sijasikia mwanamke mwenye akili zake timamu amejipeleka kwa mwanamke kichaa?
Ila jamani vichaa watamu..yaani we acha tu..ukute kama wale wa kiarabu ukilipata unalisugua mpaka linakuzoea..kama mumewe...URODA SANA..
Nimesikia zamani alikuwa mwalimu, je ni kweli mkuu?