Chakaza Platinum Member Joined Mar 10, 2007 Posts 41,029 Reaction score 74,718 Feb 20, 2015 #41 Jibu la swali ni hili. Na haya ndio aliyasemea Nyerere wakati ule wa Mwinyi. Kuhusu ushauri wa siku na asubuhi unatoa maamuzi.
Jibu la swali ni hili. Na haya ndio aliyasemea Nyerere wakati ule wa Mwinyi. Kuhusu ushauri wa siku na asubuhi unatoa maamuzi.
Escrowseal1 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2014 Posts 4,798 Reaction score 4,857 Feb 20, 2015 #42 Van persie said: Mi nimechanganyikiwa. Hivi Tanzania kuna Rais?. Click to expand... Haaaaaaa na mi huyo mnaemuita Raisi wa Tanganyika kanipa mapepo yamepanda siamini kinachotokea
Van persie said: Mi nimechanganyikiwa. Hivi Tanzania kuna Rais?. Click to expand... Haaaaaaa na mi huyo mnaemuita Raisi wa Tanganyika kanipa mapepo yamepanda siamini kinachotokea
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 19,034 Reaction score 15,244 Feb 20, 2015 #43 Nzega Yetu Kwanza said: ni yeye na mkewe na riz. Click to expand... Kha! jamaniii!
Tetty JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 26,355 Reaction score 21,422 Feb 20, 2015 #44 Van persie said: Mi nimechanganyikiwa. Hivi Tanzania kuna Rais?. Click to expand... Hakuna ila tuna PICHA YA RAIS tuuuuuuuuuuuuuuuu
Van persie said: Mi nimechanganyikiwa. Hivi Tanzania kuna Rais?. Click to expand... Hakuna ila tuna PICHA YA RAIS tuuuuuuuuuuuuuuuu