Nani humshauri rais Kikwete?

Nani humshauri rais Kikwete?

Ki Mun

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
3,442
Reaction score
4,389
Uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliotangazwa leo na Waziri Mkuu Pinda kwa mara nyingine unaturejesha kwenye swali ambalo huulizwa na watu wengi,kwamba ni NANI HAO WALIO WASHAURI WA RAIS KIKWETE?

Inawezekanaje Rais wa nchi akose umakini mkubwa kiasi hiki hata amteue Paul Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya?Kwa kauli na mwenendo,Paul Makonda anakosa sifa na uadilifu wa kuwa mteule wa Rais;hana uadilifu wa kukalia ofisi yoyote ya umma aghalabu ofisi ya DC. Hana tofauti na Mrisho Gambo aliyeondolewa,hawa ni vijana wenye majivuno na walevi wa madaraka.Ndivyo alivyo pia Nape Nnauye...lakini hawa eti ndo JK anaona ni watu wenye sifa za kuwa wateule wa Rais?hakika hawa wana sifa za kuwa wateule wa Kikwete,hawana sifa za kuwa wateule wa Rais wa nchi.

Mungu atusaidie hii miezi 7 iliyobaki iishe haraka.
 
Inawezekanaje Rais wa nchi akose umakini mkubwa kiasi hiki hata amteue Paul Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya?Kwa kauli na mwenendo,Paul Makonda anakosa sifa na uadilifu wa kuwa mteule wa Rais;hana uadilifu wa kukalia ofisi yoyote ya umma aghalabu ofisi ya DC. Hana tofauti na Mrisho Gambo aliyeondolewa,hawa ni vijana wenye majivuno na walevi wa madaraka.Ndivyo alivyo pia Nape Nnauye...lakini hawa eti ndo JK anaona ni watu wenye sifa za kuwa wateule wa Rais?hakika hawa wana sifa za kuwa wateule wa Kikwete,hawana sifa za kuwa wateule za Rais wa nchi.

Anajishauri yeye mwenyewe, ashauriwe na nani?, Kama ni ushauri ana uhuru wa kuu kataa, na yeye akishatufundisha
 
Uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliotangazwa leo na Waziri Mkuu Pinda kwa mara nyingine unaturejesha kwenye swali ambalo huulizwa na watu wengi,kwamba ni NANI HAO WALIO WASHAURI WA RAIS KIKWETE?

Inawezekanaje Rais wa nchi akose umakini mkubwa kiasi hiki hata amteue Paul Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya?Kwa kauli na mwenendo,Paul Makonda anakosa sifa na uadilifu wa kuwa mteule wa Rais;hana uadilifu wa kukalia ofisi yoyote ya umma aghalabu ofisi ya DC. Hana tofauti na Mrisho Gambo aliyeondolewa,hawa ni vijana wenye majivuno na walevi wa madaraka.Ndivyo alivyo pia Nape Nnauye...lakini hawa eti ndo JK anaona ni watu wenye sifa za kuwa wateule wa Rais?hakika hawa wana sifa za kuwa wateule wa Kikwete,hawana sifa za kuwa wateule za Rais wa nchi.

Anajishauri yeye mwenyewe, ashauriwe na nani?, Kama ni ushauri ana uhuru wa kuu kataa, na yeye alishatufundisha kuwa akili za kuambiwa changanya na zako, so kama yeye umemshinda huo msemo tudimlaum mwingine yeyote badala yake.
 
uteuzi wa wakuu wa wilaya uliotangazwa leo na waziri mkuu pinda kwa mara nyingine unaturejesha kwenye swali ambalo huulizwa na watu wengi,kwamba ni nani hao walio washauri wa rais kikwete?

Inawezekanaje rais wa nchi akose umakini mkubwa kiasi hiki hata amteue paul makonda kuwa mkuu wa wilaya?kwa kauli na mwenendo,paul makonda anakosa sifa na uadilifu wa kuwa mteule wa rais;hana uadilifu wa kukalia ofisi yoyote ya umma aghalabu ofisi ya dc. Hana tofauti na mrisho gambo aliyeondolewa,hawa ni vijana wenye majivuno na walevi wa madaraka.ndivyo alivyo pia nape nnauye...lakini hawa eti ndo jk anaona ni watu wenye sifa za kuwa wateule wa rais?hakika hawa wana sifa za kuwa wateule wa kikwete,hawana sifa za kuwa wateule wa rais wa nchi.

Mungu atusaidie hii miezi 7 iliyobaki iishe haraka.

ni yeye na mkewe na riz.
 
Hii yote ni kwa sababu ya ubovu wa katiba, na taasisi za umma zisizo imara! Wahuni kupewa vyeo vya umma sio dalili nzuri kwa nchi.
 
Mshauri wake ni Diamond platnum,Ray c,and all Bongo movies. Kama Rais ana akili ya kujisimamia,hawezi kuwa rafiki na Diamond na Ray C,mbona mkapa hakufanya hivyo? Mbona mwinyi hakuwahi kuwa na marafiki wa kijinga kama huyu JK? Paul Makonda ana sifa gani za kuwa mkuu wa wilaya? Kwa nini asingemteua na kumpeleka Monduli kwa Lowasa? Kwa nini asingemteua kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha? JK ni hovyo kabisa,amegeuza ikulu kama kijiwe cha wavuta bangi.
 
Huyu mtu ni wa ajabu sn sn.
Nyerere rudi mzee wetu.
 
Uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliotangazwa leo na Waziri Mkuu Pinda kwa mara nyingine unaturejesha kwenye swali ambalo huulizwa na watu wengi,kwamba ni NANI HAO WALIO WASHAURI WA RAIS KIKWETE?

Inawezekanaje Rais wa nchi akose umakini mkubwa kiasi hiki hata amteue Paul Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya?Kwa kauli na mwenendo,Paul Makonda anakosa sifa na uadilifu wa kuwa mteule wa Rais;hana uadilifu wa kukalia ofisi yoyote ya umma aghalabu ofisi ya DC. Hana tofauti na Mrisho Gambo aliyeondolewa,hawa ni vijana wenye majivuno na walevi wa madaraka.Ndivyo alivyo pia Nape Nnauye...lakini hawa eti ndo JK anaona ni watu wenye sifa za kuwa wateule wa Rais?hakika hawa wana sifa za kuwa wateule wa Kikwete,hawana sifa za kuwa wateule wa Rais wa nchi.

Mungu atusaidie hii miezi 7 iliyobaki iishe haraka.

Aliyekwambia hana SIFA nani?Basi ngoja nikuhabarishe,sifa kuu ya kupata ULAJI ni:

1.Kuzuia maandamano na mikutano ya wapinzani................

2.Kutukana na kudhalilisha wapinzani...........

3.Kuua wanachama wa Upinzania mfano mzuri Mwangosi na Arusha

4.Kupinga,kutukana na kuwadhalilisha wale wote watakoipinga Katiba ya MAFISADI.............

5.Uwe mtoto wa kada wa CCM mwenye cheo serikalini au kwenye chama.....................

Sasa ni kweli Paul Makonda hana hizo sifa?Usiumie sana sifa anazo tena za kumwaga na hizo ni chache tu..............
 
  • Thanks
Reactions: Gor
Kuna mda nilifikiri mshauri wake ni mganga wa kienyeji, lakini hapana. Nimekuja conclude kuwa tunaongozwa na mtu ambae ingebidi awe ...... kabisa. Sababu maamuzi yake kwa kweli naanza kuwaza kama jamaa ni mtanzania bado au vipi na kwanini wenzake ccm wasomgomee tu aisee
 
Mr. Dhaifu is a disgrace to this nation. Makonda of all the people??? Hakina nimeamini Mr. Dhaifu ndio kipimo bora zaidi duniani cha kiwango cha ujuha, ujinga na upumbavu.
 
Uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliotangazwa leo na Waziri Mkuu Pinda kwa mara nyingine unaturejesha kwenye swali ambalo huulizwa na watu wengi,kwamba ni NANI HAO WALIO WASHAURI WA RAIS KIKWETE?

Inawezekanaje Rais wa nchi akose umakini mkubwa kiasi hiki hata amteue Paul Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya?Kwa kauli na mwenendo,Paul Makonda anakosa sifa na uadilifu wa kuwa mteule wa Rais;hana uadilifu wa kukalia ofisi yoyote ya umma aghalabu ofisi ya DC. Hana tofauti na Mrisho Gambo aliyeondolewa,hawa ni vijana wenye majivuno na walevi wa madaraka.Ndivyo alivyo pia Nape Nnauye...lakini hawa eti ndo JK anaona ni watu wenye sifa za kuwa wateule wa Rais?hakika hawa wana sifa za kuwa wateule wa Kikwete,hawana sifa za kuwa wateule wa Rais wa nchi.

Mungu atusaidie hii miezi 7 iliyobaki iishe haraka.

Ulitaka mama yako ndiye awe mkuu wa wilaya ya kinondoni?
 
Anashauriwa na mtoto wa yule mchawi maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein.
 
Kuna watu wanasema Urais ni Taasisi, mimi nasema kwa mtindo huu Urais ni rais.
 
Anashauriwa na ziriwan, anataka amhakikishie usalama wa kuendelea kuwa juu ndani ya chama mpaka aafikie ngazi ya Urais, so mwanae anamshauri wale walinaomsikiliza.
 
Laana yetu wenyewe kupeleka chizi ikulu itatugharimu
 
Pamoja na ujinga wote, mpaka anampiga Warioba, bado anampa ukuu wa wilaya. Ama ndiyo sifa alizoangalia. Nchi hii ina maajabu mengi. Angemleta kwetu angeipata fresh. Hii ni kukosa busara
 
Back
Top Bottom